>>>>Anaependa kuoga na Mpenzi wake ajitokeze hapa Mara 1.....

naam, nimekuja, yani ni aibu tu imenijia gafla, sijui imetokea wapi, mzee akiniambia namwambia tu sitaki, nikimwambia naona aibu anaweza kuniambia mbona zamani 2likuwa twaoga wote.

Duuh!! Hii yako kali sijapata kusikia,mi ninavyofahamu ni kwamba mwanzoni ndiyo unaweza ukawa unaona aibu ila baadae mkishazoeana unaona ni kawaida.
 
Duuh!! Hii yako kali sijapata kusikia,mi ninavyofahamu ni kwamba mwanzoni ndiyo unaweza ukawa unaona aibu ila baadae mkishazoeana unaona ni kawaida.

itakuwa najiöna nimezeeka, mana enzi zile nilikuwa kasichana, sasa nishazaa sijui najionaje, nadhani tushakuwa watu wazima, kila mtu aoge kivyake, labda nikamsugue mgongoni.
 
kuoga naye lazima jamani....mgongo usuguliwe vema raha ukoge na mwenzi wako jamani
 
itakuwa najiöna nimezeeka, mana enzi zile nilikuwa kasichana, sasa nishazaa sijui najionaje, nadhani tushakuwa watu wazima, kila mtu aoge kivyake, labda nikamsugue mgongoni.

Kijino ng6mbe hazeeki maini..nenden mkaoge
 
Mwenye nyumba mwenyewe mmama wa Kimanyema kisha hana mume,na makamo yake ni kama 47 hivi na anasema mkiingia huko wawili wawili na mimi ntaingia na nani..??Mkitaka kwenda wawili na mimi mnipe zamu kila nikitaka kwenda kuoga......nachagua wa kwenda naye..

Kimanyema hakosi shanga huyo...na pembe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom