Anaejua zinapouzwa hizi socks

Anaejua zinapouzwa hizi socks

girlie

Senior Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
170
Reaction score
180
za kwenu??? msaada please,hizi fishnet ankle socks kwa anaejua zinauzwa wapi kwa Dar??? au maduka ambayo naweza pata.
bbdbc7029bb68046bbc1a5b671e4e98e.jpg
 
nilichukua kila rangi mchina sio tu wa sport sport anatupendezesha tu kwa buku mbili original wavae ulaya huko
 
ukikosa uje nikupe zangu za kijani na nyekundu sijui nitazivalia wapi na za bluu
 
Ila jamanii vitu vingine hivi cjui kufuata mkumbo sasa hiki nacho kinasaidia nn au ndio fashoon???hehehee ila kuvaa lazima nivivae hata kama wakati wa kulala tuu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom