Anaejua tofauti Kati ya US Navy na US Marine

lbaraka

JF-Expert Member
Feb 24, 2014
386
250
Wadau kichwa cha habari chajieleza. Naomba military experts wanisaidie kidogo. Hizo hapo juu ni idara mbili tofauti ndani ya United States Department of Defence. Kuna tofauti gani kati ya hivyo vitengo? Maana naona wote ni wanamaji
 

MduduWashawasha

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
1,657
2,000
DOD ni wizara ya ulinzi ya Marekani.US Marine ni kikosi maaalum(special force) ambacho kiko chini ya jeshi la maji (US navy) la Marekani.kuna askari wa kawaida wa jeshi la maji na kuna marines ambayo ni lazima uende kozi maalum na ufaulu.Juu ya marines kuna kikos kikali zaidi kinaitwa Navy SEALS ambayo ni mafunxo ya juu ya ukoma do yanayosimamia na jeshi la majini.Kuna vikosi vingine maalum(makomando) vinavyosimamiwa na majeshi mengine ya marekani kama green berets,rangers 75th rangers regiment delta force n.k
 

Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
10,519
2,000
Tofauti ya msingi ni moja: Marines ni Kings of Offshore and Navy ni Kings of Onshore!! For instance... kama lengo lao ni kuja kupigana na Tanzania! Hawa watatoka na mimeli yao hadi pwani ya Dar es salaam! Wakifika Dar es salaam, watakaoingia ground ni Marine wakati Navy watabaki baharini kuhakikisha usalama wa fellow Marines kutokea baharini... kwamba, hakuna adui anayeingia wala kutoka kupitia bahari!

When necessary, hawa Navy wanaweza kupiga kutokea huko huko baharini kwenye mimeli yao!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom