Movie au sinema ni kitu cha kufikirika kinachotengenezewa uhalisia wa maigizo...kwahiyo ndugu yangu ile haikuwa tukio la kweli inaitwa Airforce oneKuna move nishawai iona,imechezwa rais wa marekani akitaka kupinduliwa,ila alikomaaa mpaka akaokoa watu wake na yy pia,na ile ndege ni kama ile ile anayotumiaga obama; aliewahi iona ile move,ufafanuz jamani je ni kweli?
NB: jina la move nimelisahau