Anaefahamu Mwalimu wa Music au chuo cha music

RealTz77

JF-Expert Member
May 18, 2009
738
40
Wanajamii naomba msaada kwa anaefahamu mwalimu au chuo kinachofundisha music vizuri ( haswa upigaji wa keyboard/piano). Ninaomba mawasiliano ili niwasiliane kuhusu gharama, mda na location. Natanguliza shukrani kwa msaada ntakaopata.
NB: Naishi Dar Es Salaam maeneo ya bahari beach.
 
nenda pale kabla hujafika baruti kuna kituo kinaitwa rombo,kuna waalimu wazuri wa vifaa hivyo,ukipita barabarani utaona bango la kitambaa upande wa kushoto
 
Back
Top Bottom