apologize
JF-Expert Member
- Jul 22, 2015
- 709
- 571
Siyo kweli ila ukipangiwa BEDICT Unajichagulia somo lako moja km ni physics au maths au biology au chemistry au geography unaisoma pamoja na ICT.
Kwa kifupi unatakiwa uwe na masomo mawili ya kufundishia ICT ikiwemo ndani yake.
kama una usongo na IT zaidi una opt baadhi ya course katika college ya informatics. Hii college ipo karibu na college ya education na nauli ni 800 tu kwenda na kurudi.
bro hi kitu naipenda na nimechaguliwa DUCE, ushaur wako niweze kupata kitu cha namna hii, maana kweny guide pale DUCE haipo.