Anae uza samsung galaxy note 5 au s6 edge nahitaji bajeti 200000

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
578
Reaction score
575
Wadau nahitaji samsung galaxy note 5 au s6 edge iliyo tumika iisiyo na tatizo lolote bajeti yangu ni 200000
Napatikana dar kwa mawasiliano zaidi njoo pm
 
Kuwa Makini unaitafuta kesi ya Kuvunja na Kuiba au Kesi Ya Kichwa,Cheap is Expensive Mkuu hizo simu tajwa ukipata kwa bei hiyo inabidi ujiulize sana.
 
Usisahau kutupa mrejesho. Asante.
 
Wadau nahitaji samsung galaxy note 5 au s6 edge iliyo tumika iisiyo na tatizo lolote bajeti yangu ni 200000
Napatikana dar kwa mawasiliano zaidi njoo pm
Anzia kwanza dukani ujue bei ya hizo cm,utalipata jibu la used.
 
Kuwa Makini unaitafuta kesi ya Kuvunja na Kuiba au Kesi Ya Kichwa,Cheap is Expensive Mkuu hizo simu tajwa ukipata kwa bei hiyo inabidi ujiulize sana.
Kwa wewe binafsi hujawahi kununua kitu kwa be nafuui tofauti na bei halisi? Acha kukariri mkuu ingekuwa hivyo vitu used visinge kuwepo.
 
Jifariji famba wewe Note 5 kwa 200000 hata j 7 Mtu hakupi unataka vizuri halafu huna pesa kwanini watu wasikushikishe kesi endelea jifanye mjuvi.
 
Jitambue nataka unishikishe ww hiyo kesi
 
Back
Top Bottom