Anadai Mimi sio type yake

Tafuta material women ukiona mwanamke anaanza kukupa pressure hata ukimweka ndani anakuwa cubic ya apob wali
 
We Unapata pesa badala usaidie wagonjwa na masikini unampa Malaya au Mwanamke we mpumbavu kweli kweli.
 
Na ulivyo mjinga bado unamkubalia tu?
 
Ooops! One man down [emoji27]
 
Mkuu mbona manung`uniko kama mtoto wa yatima...

Unaanza kumaindi demu akikukimbia wakati huna hela?
Kwanza hisia za mapenzi unazitoa wap ukiwa huna hela?
TAFUTA HELA,Punguza maombolezo
 
Tulishajadili hili kwenye kikao cha wanaume haya ndo madhara ya kudoji
 
Wanawake hata hawana shida. Mwenye shida ni wewe usiyetambua thamani yako.
 
Sasa kinachokuliza ni nini? Kila shetani na mbuyu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…