VAN HEIST
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 1,434
- 617
waache wazungumze wenyewe jukumu lako la kumlea umeshalimaliza au unataka umlee mpaka mwisho wa maisha yako.?? 28yrs sio mtoto tena ameolewa kabisa... acha kujipa stress ndugu...
halafu kama sijaelewa elewa hii mada yani anakupenda wewe mlezi au wewe ndie mhusika.??
halafu kama sijaelewa elewa hii mada yani anakupenda wewe mlezi au wewe ndie mhusika.??