MadameX
JF-Expert Member
- Dec 27, 2009
- 7,792
- 3,859
Jamaa Hana Tatzo, N Kawaida Kwenda Na Kurud Ktk Mapenz,
Kawaida? lakini mtu ameshakuwa na ndoa ya mtu mwengine, huyo anataka kuvunja ndoa tu. Kengine usifanye hisia zikatawa akili, huyu jamaa ulipomuhitaji alipandisha vioo sasa iweje....ameona anafaa.
Kama alikuwa hana hela enzi hizo ina maana dunia hii masikini hawazai.......