Anadai bado ananipenda

Anadai bado ananipenda

mamkuu5

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
1,139
Reaction score
721
Dear friends,

Nimelea mdogo wangu wa kike mpaka kaolewa sasa umri 28.Akiwa na miaka 21 alibeba mimba ya mvulana ambae alipomwambia alijibu hana la kufanya na hiyo mimba, wote walikuwa wanatakiwa kujiunga na chuo kikuu.Alijaribu kujiua tukamuokoa nilipomhoji akaniambia anaona aibu ana mimba.

Nilimwambia usijiue nitalea mtoto wako .Baada ya miezi kama minne aliumwa mimba ikatoka.Nilimsomesha chuo akapata kazi sasa kaolewa na mtu mzuri tu na heshima zake.

Juzi yule bwana wa kwanza karudi anamwambia ameshapata hela anamtaka warudiane,tukamwambia kaolewa haelewi hasikii, mimi sijui cha kufanya.

Nishaurini jamani.
 
Ongea na Polisi wamweke ndani hata wiki moja segerea ili akitoka asiwasumbue tena.
 
btw kicwa cha habari kinasema "anadai bado ananipenda"

maelezo unasema ni mdogo wako...... hatareeeeeee
 
Embu rudia hicho kichwa cha habari na habari yako. Kichwa muhusika ni wewe lakini kwenye habari umembebesha mwingine uhusika.

Kwa ushauri kaa mbali nae huyo kijana kama ni mtu mwelewa ataelewa kama sio mwelewa vyombo vya dola vipo mripoti.
 
Hichi kisa ni wewe, usichanganye watu. Pili, chukuwa akili zako na za kuambiawa . Kuna vichaa aina 40, cha huyo jamaa kitakuwa namba 21
 
Lalama liwato ke kama ID yako mueleze huyo nuksi anaeharibu maisha ya watu kakaaa huko we na umalaya na pepo lake la ngono mpaka kabeba box la H.I.V a.k.a mahela akijua mwenzie anamsubirigi tu itendee haki ID Yako la sivyo jiandae kulele kituo cha waathirika.
 
Kwakweli dunia inamaajabu yake,miaka miaka 28 nadhani mkubwa wakuamua au wakujua nini anataka lakini ukiwa kama mkubwa wake na mlezi lako kubwa nikumshauri lakini maamuzi anayo mwenyewe, yes unaweza kua unamuona huyo jaaa yake wa zamani hafai lakini moyo wake mdogo wako umemridhia huyo wa mwanzo,siunajua mapenzi yalivyo unaweza ukawa na 10 lakini mmoja peke yake ndio anaekufurasha moyo wako au alie ugusa moyo wako,kwahiyo hata ukimkatalia anaweza kukubali sababu wewe kaka lakini mwisho wa siku atarudi kuonja kwa jamaa nadhani ukishamueleza maneno ya busara wacha aamue mwenyewe na jaribu kuheshimu maamuzi yake.
 
Watu Wengne Bhana, So Unataka Ushaur Gan Na Ushaolewa? Solution Huna, Mkubal Awe Mme Wa Pili, Mana Unategemea majbu Mawil, Mkatae Na Kukubal,
 
unaomba ushauri utafikiri huyo bwana anakutaka wewe si umwache mwanamke afanye maamuzi?????????????
 
Kila M2 Aloolewa, Kuna Wengne Aliwaweka Kando Na Wanakubal Khari,
 
Ndio matatizo makubwa yaliyoletwa na mtandao. Hata swala kama hili mtu hawezi kuamua mwenyewe eti anakimbilia JF kuomba ushauri!!! Mwambie huyo aliyekuoa mwanaume wako kabla ya yeye anataka kurudiana nawe ili mfunge pingu za maisha hivyo unataka muachane.

duh hili nalo linahitaji ushauri
 
Hichi kisa ni wewe, usichanganye watu. Pili, chukuwa akili zako na za kuambiawa . Kuna vichaa aina 40, cha huyo jamaa kitakuwa namba 21

Jamaa Hana Tatzo, N Kawaida Kwenda Na Kurud Ktk Mapenz,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom