Kama sura ni tatizo mbona alinikubali nilipomtongoza?Na wewe bwana, hebu jiangalie hiyo sura kwanza....hata kama wewe ni mwanamke ungejisikiaje kumpa mumeo kila siku kwa sura kama hiyo yako?
Amekuwa ngoma? Mwache apumzike na wengine piaNimeanza kuchanganyikiwa maana bila kunipa kila siku mimi naumia, analalamika kila siku, leo kaenda kwa dokta akamuuliza dokta kamwambia hakuna madhara kisayansi ila yeye anadai anachoka, mpaka ananiambia nifanye mastabeshen. Jamani, huyu mtu vipi?
Nimeanza kuchanganyikiwa maana bila kunipa kila siku mimi naumia, analalamika kila siku, leo kaenda kwa dokta akamuuliza dokta kamwambia hakuna madhara kisayansi ila yeye anadai anachoka, mpaka ananiambia nifanye mastabeshen. Jamani, huyu mtu vipi?
Ko unataka umkate na mimba hivohivo ???Nina mwezi now myb wife anazingua kisa mimba sina namna zaidi ya kuwa na michepuko mitatu ya uhakika japo uchumi ni shida pia