Anadai anachoka kunipa kila siku

Anadai anachoka kunipa kila siku

Sioni tatizo lakutaka kila siku,hiyo ndiyo inatakiwa kwa mtu mwenye afya.
Ushauri: piga kila siku kwa alternation,siku moja asubuhi na nyingine unapiga mkienda kulala.
Kumbuka; hakikisha na yeye anafika.
 
Hivi ni kweli kuna kipindi zikishughulikiwa ipasavyo zinafikia hatua ya kuwaka kama moto. ..?? Maana kuna mama mmoja akimaliza tendo na mmewe huwa namwona anachukua feni kisha anaielekeza huko kujipepea bila aibu. ...hizi nyumba za kupanga zina visa na hasa kwetu wapiga chabo.
 
Ile kitu ukila daily hata flavour inapungua!!
Hebu jaribu kukaa kama week mbili hivi alafu upate mzigo!!
Huiyo ndio inaitwa mapenzi hiyo yako ya daily inaitwa ngono.
 
Hivi ni kweli kuna kipindi zikishughulikiwa ipasavyo zinafikia hatua ya kuwaka kama moto. ..?? Maana kuna mama mmoja akimaliza tendo na mmewe huwa namwona anachukua feni kisha anaielekeza huko kujipepea bila aibu. ...hizi nyumba za kupanga zina visa na hasa kwetu wapiga chabo.
Tabia mbaya kuchungulia
 
Chukuwa hatua. Kwa kuwa huwezi kujizuia jiongeze kwa tafuta mbadala wake upunguze hamu. Baaada ya muda ulete mrejesho naamini yeye ndo atakuwa anakulazimisha.
 
Ndugu kakope bank deni ambalo huwezi kulilipa hamu itabaki historia utasahau una mtu.
 
Nimeanza kuchanganyikiwa maana bila kunipa kila siku mimi naumia, analalamika kila siku, leo kaenda kwa dokta akamuuliza dokta kamwambia hakuna madhara kisayansi ila yeye anadai anachoka, mpaka ananiambia nifanye mastabeshen. Jamani, huyu mtu vipi?
Unaumia wap???
 
Sioni tatizo lakutaka kila siku,hiyo ndiyo inatakiwa kwa mtu mwenye afya.
Ushauri: piga kila siku kwa alternation,siku moja asubuhi na nyingine unapiga mkienda kulala.
Kumbuka; hakikisha na yeye anafika.
Huwa napiga asubuh na usku na week end mara tatu na anafika kabla yangu mkuu
 
Back
Top Bottom