balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,836
- 15,668
MeWee ni ke au me?
Mm nlianza zaman sema niko hivyo.MWENZIO ANACHOKA....NYIE NDO MNAANZIA MAPENZI KWENYE NDOA,WENGINE TUNAVIZOE VITU HIVI MAPEMA
Nimeanza kuchanganyikiwa maana bila kunipa kila siku mm naumia,analalamikabkila siku,leo kaenda kwa dokta akamuuliza dokta kamwambia hakuna madhara kisayansi ila yeye anadai anachoka,mpaka ananiambia nifanye mastabenshen .Jamani ,huyu mtu vipi?
Anachokaje huyo, Inaonekana wewe si fundi kabisa.Nimeanza kuchanganyikiwa maana bila kunipa kila siku mm naumia,analalamikabkila siku,leo kaenda kwa dokta akamuuliza dokta kamwambia hakuna madhara kisayansi ila yeye anadai anachoka,mpaka ananiambia nifanye mastabenshen .Jamani ,huyu mtu vipi?