balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,513
- 15,152
Jamaa yangu mmoja ni noma, ameanza kuchanganyikiwa maana bila mkewe kumpa kila siku anadai anaumia, analalamika, kaniuliza iama ina madhara kiafya nikamwambia hakuna madhara kisayansi ila sasa mke, anadai anachoka, mpaka anaamua afanye mastabeshen. Jamaa anauliza, huyu mtu vipi?