The war has just began,tupo nyuma yako dada usikate tamaa wala kujihis mnyonge yaani hiyo tarehe 27 lazima kinuke.tunataka haki ya dada yetu,mtanzania mwenzetu,shabiki wetu.everything has got an end.ANACONDA TEAM,NO SURRENDER...
Kweli jide anaconda yaani mnakimbilia mahakamani?? Na mbwembwe zote hizo duh kwel jide noumer
Haki ipi hiyo mnayoitaka? Na kwa nini hamjaenda mahakamani kuitafuta?
Wewe ni mtanzania?
Wewe ni uhamiaji?
kwa issue ya pimbi ruge nami naunga mkono lazima kieleweke.
Haki ipi hiyo mnayoitaka? Na kwa nini hamjaenda mahakamani kuitafuta?