afadhari ameliona hilo,ukitaka kugombana na watz walio wengi weka hoja mezani yamaana uone wlivio kuwa mbumbumbu wao nampla tu na ndio maana ccm kwa akili za izi za baadhi ya wabogo itafia madalakaniNilichogundua baadhi ya watu mna wivu kwa hao wahaya .hoja ni serikali kutoelekeza miundombinu km vyuo,stendi,nk nk..lakini watu mnaacha iyo hoja na kukimbilia hoja za kipuuzi Mara uchawi,sijui uvivu,majivuno nk nk..YOU PEOPLE ARE U NUTTS..[emoji1745][emoji23]
taja kabila lako tuone miundombinu iliojengwa na hilo kabila lako na mkoaUnaijua KLM wewe mzee wa kanazi?
Hawawezi kutaja maana kote huko watu wananuka shida bado wanaishi enzi za Nyereretatizo watu wanao washambulia wahaya ukiwauliza makabila yao na mikoa wanako toka hili tulinganishe wanaingia mitini
Ninayasema haya kwa chuki binafsi.hilo linahusika vipi na serikali kujenga miundo mbinu ndio kusema watumishi wote wa umma mkoani kagera ni wahaya? ebu tupe tafiti yako ulio ifanya pia ututajie mkoa wako na kabila lako tilijue
Sasa mkuu wa mkoa ndo anatoa hela za kutekeleza Miradi aisee? Lia na Mbunge wenu akalatae kuunga mkono bajeti za mawizara kule bungen8 watamsikia... usidhani wale wabunge wanarukaga sarakasi pale wanajifurahisha...the positivity moja wapo ni utekelezaji wa miradi wanayopigia kelele kule!!!Serikali timiza wajibu wenu acha kurukaruka kama maharage sufuriani.
acha chuki wewe mbona watumishi makabila tofaoti na wahaya watele ulienda ukakuta wahaya tu ndio walio ajiriwa hukoNinayasema haya kwa chuki binafsi.
Nilipangiwa kituo changu cha kwanza cha kazi mkoani Kagera kama medical assistant enzi hizo, kituo kapuni!
Kituoni hapo ni kihaya kitupu na walipogundua kuwa mimi ni mnyamahanga, basi nilipigwa fitina mpaka nikapoteza uelekeo.
Kwa kuwa vizazi vinabadilika na Mungu kuwaua wafitini na wenye roho mbaya vifo vya mapema, labda jamii hiyo ya wenye roho za kibaguzi ilikwisha malizika!
Lakini kama utamaduni huo wa kibaguzi unaendelea na haujabadilika, basi mkoa huo ni mahali pabaya sana kufanyia kazi, hasa za umma!
haswaHawawezi kutaja maana kote huko watu wananuka shida bado wanaishi enzi za Nyerere
taja kabila lako weme wasukuma niupi?Msukuma.
Wasukuma ni watu wema
Iweeeetaja kabila lako weme wasukuma niupi?
hacha kupotezea taja kabila lako na mkoa wako tulijadili kisha tulinganishe na wahaya kuanzia elimu makazi maisha kwa ujumla chawi roho mbaya ubinafs nk usipotezee tajaIweeee
Umeandika Kiswahili au Kihaya?
Msukuma wa Rocky city.hacha kupotezea taja kabila lako na mkoa wako tulijadili kisha tulinganishe na wahaya kuanzia elimu makazi maisha kwa ujumla chawi roho mbaya ubinafs nk usipotezee taja
Acha kutetea bila kufanya utafiti wowote ndg, sisi tulioishi kwenye mataasisi tunajua tunachokiongea.acha chuki wewe mbona watumishi makabila tofaoti na wahaya watele ulienda ukakuta wahaya tu ndio walio ajiriwa huko
Njoo na hoja za kwanini serikali haifanyii kazi ishu za kujenga vyuo,kuboresha meli,kujenga soko na stendi..mbona unakuja na hoja nyepesi,taja mkoa wako tuone km watu wa huko hawana fitina..jaribu kujibu swali la msingi acha kupuyanga[emoji144]Ninayasema haya kwa chuki binafsi.
Nilipangiwa kituo changu cha kwanza cha kazi mkoani Kagera kama medical assistant enzi hizo, kituo kapuni!
Kituoni hapo ni kihaya kitupu na walipogundua kuwa mimi ni mnyamahanga, basi nilipigwa fitina mpaka nikapoteza uelekeo.
Kwa kuwa vizazi vinabadilika na Mungu kuwaua wafitini na wenye roho mbaya vifo vya mapema, labda jamii hiyo ya wenye roho za kibaguzi ilikwisha malizika!
Lakini kama utamaduni huo wa kibaguzi unaendelea na haujabadilika, basi mkoa huo ni mahali pabaya sana kufanyia kazi, hasa za umma!
Mada yako nimeiunga mkono kwani umeeleza uhalisia.Njoo na hoja za kwanini serikali haifanyii kazi ishu za kujenga vyuo,kuboresha meli,kujenga soko na stendi..mbona unakuja na hoja nyepesi,taja mkoa wako tuone km watu wa huko hawana fitina..jaribu kujibu swali la msingi acha kupuyanga[emoji144]
haya uzuli wenu nyiyi sukuma ni hupi? nawajua vizuli kuanzia mwanza shinyanga kahama tabora mwambiti mpaka pote mlipo, ila mimi sio kama wewe usie jitambua siwezi wakusanya wasukuma wote nikatwisha tabia mbaya ya kukata viungo alibino na kuua wazee vikongwe kisa macho mekundu uchawi uliopitiliza wa kuwafanya watoto wawatu misukule huko gambushi na ushamba chunguzima mlio nao hizo ndizo baadhi yatabia zenu mbaya lakini wapo wasukuma wema sio wote wenye tabia za kishenzi kama zako wewe mshambaMsukuma wa Rocky city.
Haya nimetaja kijana myaya
wewe kabila gani?Acha kutetea bila kufanya utafiti wowote ndg, sisi tulioishi kwenye mataasisi tunajua tunachokiongea.
Kama jamii imebadilika na kuacha kuongea kihaya mahala pa kazi, basi kuna mabadiliko makubwa sana ya kistaarabu yamekwiaha fanyika.
Utetezi wako umenipa kazi ya kufanya utafiti wangu pole pole kuulizia kama huo ujinga bado upo.
Na kama bado upo basi nitakulaumu sana mdau kutetea mmomonyoko wa maadili mradi tu wewe ni mhaya bila ya kufanya reserch ya kina!
wewe kwenu mkoa gani kusipo kuwa na fitina ubaguzi?Ninayasema haya kwa chuki binafsi.
Nilipangiwa kituo changu cha kwanza cha kazi mkoani Kagera kama medical assistant enzi hizo, kituo kapuni!
Kituoni hapo ni kihaya kitupu na walipogundua kuwa mimi ni mnyamahanga, basi nilipigwa fitina mpaka nikapoteza uelekeo.
Kwa kuwa vizazi vinabadilika na Mungu kuwaua wafitini na wenye roho mbaya vifo vya mapema, labda jamii hiyo ya wenye roho za kibaguzi ilikwisha malizika!
Lakini kama utamaduni huo wa kibaguzi unaendelea na haujabadilika, basi mkoa huo ni mahali pabaya sana kufanyia kazi, hasa za umma!
LubisiUmekunywa pombe ya wapi?
Mhaya tulia ujifunze kuandika. Huna AKILIhaya uzuli wenu nyiyi sukuma ni hupi? nawajua vizuli kuanzia mwanza shinyanga kahama tabora mwambiti mpaka pote mlipo, ila mimi sio kama wewe usie jitambua siwezi wakusanya wasukuma wote nikatwisha tabia mbaya ya kukata viungo alibino na kuua wazee vikongwe kisa macho mekundu uchawi uliopitiliza wa kuwafanya watoto wawatu misukule huko gambushi na ushamba chunguzima mlio nao hizo ndizo baadhi yatabia zenu mbaya lakini wapo wasukuma wema sio wote wenye tabia za kishenzi kama zako wewe mshamba
Mimi kuna mambo mengine naonaga wanawalaumu wasomi wa Kagera kimakosa sana. Pengine ni kimkakati ili kuendelea kufunika lengo la serikali kuubakisha mkoa wa Kagera nyuma. Hii inafanya kimakusudi kuharibu mindset za watu watoke katika kuwazia mipango ya serikali ikae kuwawazia watu mmoja mmoja wa Kagera.
Imagine watu wa kawaida na wanasiasa wanasema Kagera pamoja na kuwa na wasomi wengi imeshindwa kuwa na stend nzuri ya mabasi! Usomi unawasaidia nini? Ila ukiwauliza ni mkoa gani ambao wenyeji wa mkoa huo wamejijengea stend yao?
Wanasema sijui soko, siju miundo mbinu mjini, n.k wakiihusisha na usomi wa wahaya. Kuna kabila ambalo limejenga soko mjini kwao??
Kama hao maprofesa mnaowasema kuwa ni wasomi uchwara na hawajaleta maendeleo Kagera, mbona wao mmoja mmoja wako vizuri sana na familia zao na koo zao? Umeshaenda katika vijiji vya wahaya? Umeshaona walivyojijenga? Unaweza kulinganisha na mkoa gani tofauti na Kilimanjaro?
Suala la maendeleo ya jumla ya jamii ni jukumu la serikali. Serikali isijiegeshe kwenye kauli za ubaguzi. Wameshawahi kutenga bajet ya kujemga stend mpya ya kisada hela zikaliwa na hao wahaya maprofesa? Mbona mikoa mingine, tena hadi wilaya tu za mikoa wanapeleka hizo fedha?
Yaani wanasema Bukona mjini hamna hata taa za barabarani usiku, alafu mtu anasema PAMOJA NA USOMI WOTE WA WAHAYA, as if ni jukumu la mtu binafsi kuweka taa barabarani.
Mkoa hauna chuo kikuu pamoja na kuwa ndo mkoa ambao bado unasukuma wasomi wengi zaidi katika mfumo wa elimu wa taifa kuliko mikoa yote, lakini mtu badala ya kuoiga kelele serikali ifanye juhudi za kuketa chuo ili watoto wakasome ana kazi ya kuwananga ma doctors na wasomi wa kihaya kwa sababu tu ya chuki zake. Mnaweza kutwambia mkoa ambao wananchi wake wamejenga chuo kikuu??[emoji57]
Kahawa inazalidhwa Kagera lakini miaka yite mnada wa kahawa badala ya kufanyika Kagera eti ulikuwa unafanyika Moshi. Yaani kahawa ya Bukoba mpaka ipelekwe Kilimanjaro kuuzwa. Hili nalo ni la wasomi? Wizara zinakuwa hazioni? Kuna mambo mengi sana ya hovyo yanafanywa na serikali kuirudisha Kagera nyuma. So sad
Serikali imeitupa Kagera miaka mingi sana na kimakusudi kabisa. Zifanyike juhudi za wazi kuiamsha Kagera, na sio hizi propaganda za kuwalaumu watu wa Kagera kwa kuwa na akili za darasani na kudoma sana. Kwani ni makosa?? Wamevunja sheria gani??