Anachokifanya TP MAZEMBE ni ushahidi kuwa Class is permanent, form is temporary!!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,037
Moto aliouwasha TP Mazembe msimu huu, waliouota ndio wanaweza kuusimulia!! Wamethibitisha kuwa weao ni top class, no matter what!!
1703059482305.png
 
ana pyramid home!
kule egypt alipigwa 1-0!
kiufupi ana nafasi ya kufuzu, maana pyramid ana game 2 (dhidi ya tp away na hao wa burkinabe home)
Noadhibou ni wa Mauritania kama sikosei.
Kabakisha game na pyramids na mamelodi.
 
kundi lipo wazi lolote linaweza kutokea hata mazembe anaweza asipite kwenda robo.angekua walau ana point 10 kuendelea labda tungesema Mazembe yuko moto.
 
Back
Top Bottom