Anachelewa mno kumaliza 2tu nachoka hoi.



swahili please
 

Hapo kwenye red, mkuu umeniacha...! Tafadhali tuwekee wazi!!!!
 
duh huo mtaa nadhani ukifanya sherehe wanaweza kuja watu zaidi ya 2000 maana inaonyesha wanapenda sana mikusanyiko na umbea na nahisi ni Tandale kwa Tumbo
 

anywe juice ya alovera
 
Hivi wana Jf wote mnataka kuniambia mnakaa masaki, mbezi beach, msasani peninsula, tabata segerea, o6bei, na mitaa mingine ambayo uswahili haupo?? Mbona mnaushangaa mtaa huu kwa kitu kama hiki wakati ni chakawaidatu. Anyway, wale walochangia wamefanya la maana, kaka unaeshea tatizo na mshikaji bwana chukua maujanja hayo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…