Anaanzaje upya?

Ni kweli ana tatizo na jinsi ya kumsaidia inataka uamuzi na moyo wa kumsaidia,sio mchezo.Na huyu hatuwezi kumsaidia online,ni lazima asaidiwe ana kwa ana
 
MTU ambaye atamsaidia kutoka hapo alipo ni MTU anayemuona katika kioo

Means wakati unamuona yeye amestuck yeye anaona everything is okay.

Kikubwa mpe motivation ila Psychology ya kukufanya u-back to the sense Huwa haipo . Ni wewe mwenyewe kuamua kukubali ukweli things are no longer the same

I have to figure out my stuffs.

Wakati unaona hana familia , anakaa kwako n.k

Ila bado yeye anaona is okay .

Kwakuwa kupata familia hata Masikini kapuku anapata

Kuhama nyumbani Kuna mpaka vyumba vya elfu 10 unaweza uka rent

So mambo kama HAYO ni issue ya akili ya muhusika vile anatazama mambo ila akiwa hiyo hali haifai atatfuta njia ya ku-figure out .
 

Hapo umenena mkuu.. kikubwa ni movement (action) asikae tu.
Kabisa, acceptance is the first step.nahisi yeye mwenyewe ndo kifungo na kifunguo
 
Kama angekuwa naona "Ok" asingekuwa anaomgea kwa namna ya kuasa watu wengine na kujilaumu katika mapito yake. Kun watu wengi sana hpo juu wameng'amua kuwa mchizi yuko mwka 2026 lakini mawazo na hisia zipo miaka kadhaa nyuma kipindi anafnya au mistake zinafanyika zilizopelekea yeye kuwa hapo.

Kuhama hapo kunawez kumjenga au kumbomoa kbisa man akiishi mwenyew kam hawez kubatle na upweke na hisia zile z miaka ilyopita anaweza kujidhuru kirahis sana na kukosa msaada. Hapo ni kukubali kuwa amekosa alichokitaka sasa atafute kingine kwa namna nyingine ajenge maisha yake na familia
 
Facts kabisa mkuu. 💯
 
Daah mishangazi tena? 🤣 Ila umesema kweli, afya ya akili ndo chanzo Cha hayo yote, kureverse majeraha Huwa inakuwa ngumu sana, no matter watu wanaookota makopo huanzia phase hizi pia.
Yes… Women do this mara nyingi… Haujawahi kusikia msemo “kama maisha yamekushinda kaolewe “ Maana yake kama maisha yako binafsi yamekushinda kayaunganishe na mtu mwingine then mtapata direction pamoja.

Kama wanawake wanafanya kwanini wanaume zetu wasifanye? Kuna watu ni wajane umri umeenda na wana watoto wanahitaji mtu tu wamalizie maisha… Atafute ajiweke.. na awe bora.

Inaruhusiwa…….!
 
Hakuna sehemu kakosea everything is blessing in this life .

Muhimu anaweza akafanya life transformation .

Ili aanze ni Afya ya mwili na akili that is huge capital to him .

So mwambie awe positive na amshukuru Mungu umri wake bado mdogo sana anaweza win vizuri na akapata familia , biashara au kazi na n.k

Hamna uchawi is blessing
 
Huyo ubongo wake umekufa ngazi , kwa sababu ya kufikiria sana (overthinking) . Mtu wa hivyo ni hatari sana , kuna kipind akianza kuona mambo fulani yako sawa basi nakuambia anaenda kuchizika .

Mbaya , sisi hatuwezi kumsaidia mtu . Kuna uwezekano mkubwa amekuwa disappointed na watu wake wa karibu . Ifike kipindi watu tuishi kwa kusaidia wengine ; kuleta tabasamu la wengine .

AFya ya akili ni mfumo mbaya , hata ukiangalia watumiaji wa madawa huko sober wote ni afya ya akili .Nisema tu , homeboy , the late SPACK tumezika juzi , ndugu zake hasa mother wake anasema hakuumwa . Ila kuna video nimeona analima , anaimba na jamaa anaonesha kama mtu fulani ana stress sana , swala las stress linatafuna sana yaani ndani kwa ndani .

Dunia ya leo tujitengenezea matumaini makubwa na kufuata njia zote , kama kusoma mtu unasoma ila baaday unashangaa yanaenda kombo . Deep down , watu wanapambana na depression kwa siri.​
 
Tatizo ni nani?

Tell me the logic behind this.
Huyo mtu ni mhangq wa tatizo, suluhu linahitaji mchakato fulan ambqo unatakiwa ukakate mzizi mkuu wa tatizo. Kushindwa kubqdilika kwa 'attitude' ya mhanga hakuwez kueleweka kuwa tatizo ndan yake. Jamaa atakuwa tayar ana depression au psychosis. Anahitaji vyote viwili medication na social support. Hiv vitu sio vitu vilivyo ndan ya uwezo wake
 
Psychosis?:umeenda mbali mkuu,,,,
 
In a bigger picture, tukisema tatizo ni wewe unaelewa maana yake?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…