Huyo rafiki yako hayupo tena, kimwili una mwona lakini ashapotea. na hajui anarudije. usimcheke. anahitaji mtu wa kumuonyesha njia ya kupita.Kuna jamaa yangu stori yake inasikitisha kidogo, he's in his late 30's now. Hana familia, hana maisha. Sadly mwaka Jana ndo kaamua kutoka nyumbani. Ila nimekaa kungalia stori yake ni bro wa kitaa tu. Amekuwa na kusoma nikimuona.
Alimaliza primary na secondary vizuri sana, alikuwa kichwa ndoto zake alitaka kuwa rubani. Ila haikwenda kama matarajio. Advance alipitia changamoto, sijui alikumbana na tukio Gani maana ni mpka alirudi home. Alishuka galfa kimasomo kamaliza hakufauru akarudi diploma. Ila alikua kama kapoteza Nuru ya maisha.
Toka hapo Sasa ikawa ni mtu aisye maliza anacho Anza, kaenda kusoma diploma hakumaliza, karudia tena akafanikiwa. Ila Sasa kitu ambacho nakiona kwake ni kama kakata tamaa ya maisha.
Ni mtu asiyeonesha ana shida, akipata kazi anafanya Kwa mwezi mmoja anaacha. Analaumu sana mapito yake, hana marafiki wa kudumu. Hana mahusiano. Alishawahi kunipa stori ya demu mmoja ambaye alimcheat so baada ya hapo hapendi kabisa.
Huwa najiuliza namna ya kumsaidia nashindwa, Kuna kitu moyoni make kakibeba anashindwa kukitua. Anapenda sana kutoa wosia yaani mkikaa naye utadhani unajua Kila kitu kuhusu maisha. Ila yeye Sasa ame stuck.
Kama Kuna mtu, au mwana psychologia au mwenye kuliona hili jambo kipekee atoe ushauri labda utamsaidia. Jamaa umri umekimbia Kuna muda Huwa tukiongea anasema kabisa kama angekuwa mtu mwingine angejiuwa, ila naishia kucheka namwanbia unataka stori ya maisha yako iwe ya kijinga namna hiyo? Ila ukweli jamaa ni kama afya yake ya akili inazidi kuwa mbaya. Anahitaji msaada.
Nilimshauri atoke nyumbani aende akaanze maisha upya, ila naona japokuwa kahama, tabia ni ile ile, kupigia watu simu, kuomba hela, kuongelea mafanikio ya wengine.
Sahihiwatakuja kusema huyo rafiki yako ni wewe😂
Mpe pole sanaKuna jamaa yangu stori yake inasikitisha kidogo, he's in his late 30's now. Hana familia, hana maisha. Sadly mwaka Jana ndo kaamua kutoka nyumbani. Ila nimekaa kungalia stori yake ni bro wa kitaa tu. Amekuwa na kusoma nikimuona.
Alimaliza primary na secondary vizuri sana, alikuwa kichwa ndoto zake alitaka kuwa rubani. Ila haikwenda kama matarajio. Advance alipitia changamoto, sijui alikumbana na tukio Gani maana ni mpka alirudi home. Alishuka galfa kimasomo kamaliza hakufauru akarudi diploma. Ila alikua kama kapoteza Nuru ya maisha.
Toka hapo Sasa ikawa ni mtu aisye maliza anacho Anza, kaenda kusoma diploma hakumaliza, karudia tena akafanikiwa. Ila Sasa kitu ambacho nakiona kwake ni kama kakata tamaa ya maisha.
Ni mtu asiyeonesha ana shida, akipata kazi anafanya Kwa mwezi mmoja anaacha. Analaumu sana mapito yake, hana marafiki wa kudumu. Hana mahusiano. Alishawahi kunipa stori ya demu mmoja ambaye alimcheat so baada ya hapo hapendi kabisa.
Huwa najiuliza namna ya kumsaidia nashindwa, Kuna kitu moyoni make kakibeba anashindwa kukitua. Anapenda sana kutoa wosia yaani mkikaa naye utadhani unajua Kila kitu kuhusu maisha. Ila yeye Sasa ame stuck.
Kama Kuna mtu, au mwana psychologia au mwenye kuliona hili jambo kipekee atoe ushauri labda utamsaidia. Jamaa umri umekimbia Kuna muda Huwa tukiongea anasema kabisa kama angekuwa mtu mwingine angejiuwa, ila naishia kucheka namwanbia unataka stori ya maisha yako iwe ya kijinga namna hiyo? Ila ukweli jamaa ni kama afya yake ya akili inazidi kuwa mbaya. Anahitaji msaada.
Nilimshauri atoke nyumbani aende akaanze maisha upya, ila naona japokuwa kahama, tabia ni ile ile, kupigia watu simu, kuomba hela, kuongelea mafanikio ya wengine.
Wengine walizaliwa kuwa masikini wa akili hadi miili yao.Mgawie kimoja kati ya akili au afya.Inasikitisha.Kuna jamaa yangu stori yake inasikitisha kidogo, he's in his late 30's now. Hana familia, hana maisha. Sadly mwaka Jana ndo kaamua kutoka nyumbani. Ila nimekaa kungalia stori yake ni bro wa kitaa tu. Amekuwa na kusoma nikimuona.
Alimaliza primary na secondary vizuri sana, alikuwa kichwa ndoto zake alitaka kuwa rubani. Ila haikwenda kama matarajio. Advance alipitia changamoto, sijui alikumbana na tukio Gani maana ni mpka alirudi home. Alishuka galfa kimasomo kamaliza hakufauru akarudi diploma. Ila alikua kama kapoteza Nuru ya maisha.
Toka hapo Sasa ikawa ni mtu aisye maliza anacho Anza, kaenda kusoma diploma hakumaliza, karudia tena akafanikiwa. Ila Sasa kitu ambacho nakiona kwake ni kama kakata tamaa ya maisha.
Ni mtu asiyeonesha ana shida, akipata kazi anafanya Kwa mwezi mmoja anaacha. Analaumu sana mapito yake, hana marafiki wa kudumu. Hana mahusiano. Alishawahi kunipa stori ya demu mmoja ambaye alimcheat so baada ya hapo hapendi kabisa.
Huwa najiuliza namna ya kumsaidia nashindwa, Kuna kitu moyoni make kakibeba anashindwa kukitua. Anapenda sana kutoa wosia yaani mkikaa naye utadhani unajua Kila kitu kuhusu maisha. Ila yeye Sasa ame stuck.
Kama Kuna mtu, au mwana psychologia au mwenye kuliona hili jambo kipekee atoe ushauri labda utamsaidia. Jamaa umri umekimbia Kuna muda Huwa tukiongea anasema kabisa kama angekuwa mtu mwingine angejiuwa, ila naishia kucheka namwanbia unataka stori ya maisha yako iwe ya kijinga namna hiyo? Ila ukweli jamaa ni kama afya yake ya akili inazidi kuwa mbaya. Anahitaji msaada.
Nilimshauri atoke nyumbani aende akaanze maisha upya, ila naona japokuwa kahama, tabia ni ile ile, kupigia watu simu, kuomba hela, kuongelea mafanikio ya wengine.
Tatizo sio yeye! Be logicalBiblia inasema, Linda sana moyo wako kuliko vyote ulindavyo, Kuna watu wanafanya wanavyovifanya hawajui ni kiasi gani vinagusa na kuharibu mioyo yao, Nikiona mtu anafanya something weird huwa namuuliza, una uhakika miaka mitano ijayo ukikumbuka hiki unachofanya sasa will you be proud of yourself?
Kwa dunia ya sasa tuseme linda sana afya ya akili yako kuliko vyote ulindavyo maana hapo ndipo zitokapo chemichemi za motivation.
Mwambie jamaa yako , tatizo ni yeye… Na yeye ndio anaweza kujikwamua atoke hapo. Aanze na kukubali kwanza hali yake, na kuiboresha hali yake. 40 amechelewa lakini haimaanishi hawezi kuanza.
Ajiwekee malengo madogo madogo, kama kuwa na kitu cha kumuingizia kipato, kuwa na permanent address, kuwa na uwezo wa kula na kunywa maji safi.
Baada ya hapo ndio aanze kupanga malengo ya kati na yanayofuata.
Ikishindikana ajifunze uongo uongo atafute mshangazi.
Yap na ndio watu wa mwanzo kabisa katika kujenga au kubomoa. Sabab huyo jamaa anasumbuliwa na tatizo linaloathiri ngazi ya jamii, na simple unit ya jamii ni familyFamilia mara nyingi ndo chanzo Cha maumivu,atoke nyumban
Usijiwekee hizi negativity! Utaishia kuibuka kiumbe cha ajabu bila faida yoyote! Bora uhame ukaanze upya sehemu nyingine kabisa!70% kama vile anayezungumziwa hapa n mm 😔
Nikahisi bangi zimenigeuka lohh!!Mwambie aende atakaa na mchele visabun kule kunguru na akioga mpeleke juani ataliona kwa kuwa udongo bila ya maji maji yale... Hata cjui nimeandka nini ngoja ucngz uishe ntarudi tena