Ana Sifa Zote.....kasoro ...Sex!

Ana Sifa Zote.....kasoro ...Sex!

Kei ikiwa ya baridi ndio inakuaje? Haina stimu au? Sidhani kama kei inaweza kua ya baridi kabisa,yani yani isiwe na joto hata kidogo? Maana nachojua mimi human being ana temp ya 37celcius,sasa inakuwaje temp haipo distributed equally? Me don't buy dat bruh!

Hhahahah ingepaswa ulogg off
 
c mdomo kweli? kuna wengne utasema kaweka knyes mdomon!
 
Umuhimu wa sex hauko kwenye ndoa/mahusiano...upo kwa mtu mwenyewe. Jiulize wewe kama utaweza kuishi nae hivyo hivyo kwa miaka 10 mbeleni huku ukiwa mwaminifu kwake...kama jibu ni ndio/hapana anzia hapo kufanya maamuzi.

waweza kutofautisha mtu na sex yake?
 
Kuridhika na tendo la ndoa ndio uhai wa ndoa yenyewe. Take care. Fanya maamuzi sahihi.
 
Kaka upendo wa kweli huvumilia, hufadhili, hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchumgu; hauhesabu mabaya..........................,
Kama unampenda kweli hauta hesabu mapungufu yake bali mtachukuliana madhaifu yenu.
Kaka ukifanya kinyume na hayo utakuwa ulimtamani au ulipapatika ndio maana baaada ya mchezo ilo wazo la kumuacha likakujia.
 
mkuu ujue kizuri hakikosi kasolo jua unaweza pata anbae anajoto kihakili ikawa zilo upo hapo nimefulahi kwanza ulivyo sema shoo yake ipo poa nainye sitandad nakazi anayo namatendo yake mazuli sasa joto ndilo liwe tatizo beba mzigo kwamikono miwili mazaifu hayo yakufanye umuache
 
Dada ni mzuri sana wa sura na shape sio mbaya sana. Ana tambia nzuri. Kwa kweli nikimtazama najua atanizalia watoto wazuri sana. Amesoma na ni graduate. Kabahatika kupata kazi nzuri na kwa ujumla ana future nzuri, inshallah, kimaisha. Ananipenda sana na kwa ujumla nami nampenda. Ningependa awe wangu wa milele, ila tu kwa hili:

Ni wa baridi mno tuwapo maeneo. Na sio kuwa hajishughulishi, la hasha. Anajitahidi kutoa penzi zuri na anafundishika. Tatizo tu ni maumbile yake. Hayana mvuto. Kutafuta mzunguko wa zaidi ya mara moja inakuwa kazi kweli, mpaka hata inabidi uanze kujivisha sura na feelings za mtu mwingine ili uweze kugoneka mpaka kumaliza mzunguko wa pili nk.

Nafahamu kuwa huwezi kupata mwenza aliyetimia 100%. Je niamue tu kuwa huyu atanifaa sana kama mke, mama wa wanangu tukijaliwa inshallah na msaidizi muhimu sana kiuchumi maishani. Kwamba nijitoe muhanga kuwa sitapata penzi nililowahi kulipata kwingineko? Je sex ni muhimu kiasi gani katika maisha ya ndoa? Kwa wenye ufahamu naomba mnijuze. Asante.
Kaka naomba kama utanisikiliza usifanye kuoa huyo utajuta. Mm nilikuwa na msichana kama huyo wakati niko chuo ana sifa zote za mwanamke mzuri ana akili darasani,mpore hana mbwembwe, anajiheshimu lkn chumbani sifuri halafu mimaji mpaka godoro linalowa mvivu mh nilimwacha japo uamuzi ulipata vizingiti kutoka kwa mashabiki. Ww ndo utakuwa na liability kuishi nae. So bora ijiweke pembeni maana utatoka nje kutafuta raha na faraja ya moyo.
 
daaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!pole sana kaka,ndoa bila kuridhika utajuta,maisha yatakuwa magumu sana!u hav to listen to ur hrt bfore making decsn bro!
 
bro umesa ukwel kabisa hamna kitu kama hicho,yan haina joto kabisa,also i dont by that rubbish
 
Kaka naomba kama utanisikiliza usifanye kuoa huyo utajuta. Mm nilikuwa na msichana kama huyo wakati niko chuo ana sifa zote za mwanamke mzuri ana akili darasani,mpore hana mbwembwe, anajiheshimu lkn chumbani sifuri halafu mimaji mpaka godoro linalowa mvivu mh nilimwacha japo uamuzi ulipata vizingiti kutoka kwa mashabiki. Ww ndo utakuwa na liability kuishi nae. So bora ijiweke pembeni maana utatoka nje kutafuta raha na faraja ya moyo.

mmmhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!pole na wew kwa kukutana na bwawa,kwann usingefuga samaki
 
Ndio madhara ya kuwa na wapenzi wengi kabla ya kuoa maana mtu ameshapitia K za kila namna kiasi kwamba anashindwa kufanya maamuzi, wewe oa tu kwani sifa ya binadamu kutofautiana (kwanini binadamu tuna sura lakini zinatofautiana au kwanini tuna miguu miwili lakini kuna ambao wana miguu ya bia hivyo hata K zinatofautiana kama vile wengine wana mianya wengine hawana)

Kama vipi itabidi umwambie awe anaota moto huku ametanua miguu kabla ya ku-sex (joking) but oa usikimbie mdau
 
Tatizo lako ni huo uzoefu wa kufanya mapenzi na zaidi ya mwanamke mmoja. You can not avoid comparing the samples you have. Mwisho wa siku unakuja na ideas za wa baridi, wa moto, wa vuguvugu nk. I hope utawafundisha wengine maadili ya dini yako kuanzia sasa ili wasiingie kwenye zahama uliyomo. All in all. Kwa muktadha(context) wa feelings zako huyo dada usimwoe, tayari ni sub standard kwenye mhimili mkuu wa ndoa kwako.
 
Mbona hii imekaa kama vile kaka unanitangaza humu...I am shocked 🙂

On more serious note, kutokana na hizo inshallah hapo juu itakuwa wewe ni muislam, wewe oa huyo dada kama mzazi mwenzio na mwenzi wa maisha. After sometiems ongeza namba mbili mwenye uzoefu na department hiyo.

Problem solved.

:thumbup:
 
Dada ni mzuri sana wa sura na shape sio mbaya sana. Ana tambia nzuri. Kwa kweli nikimtazama najua atanizalia watoto wazuri sana. Amesoma na ni graduate. Kabahatika kupata kazi nzuri na kwa ujumla ana future nzuri, inshallah, kimaisha. Ananipenda sana na kwa ujumla nami nampenda. Ningependa awe wangu wa milele, ila tu kwa hili:

Ni wa baridi mno tuwapo maeneo. Na sio kuwa hajishughulishi, la hasha. Anajitahidi kutoa penzi zuri na anafundishika. Tatizo tu ni maumbile yake. Hayana mvuto. Kutafuta mzunguko wa zaidi ya mara moja inakuwa kazi kweli, mpaka hata inabidi uanze kujivisha sura na feelings za mtu mwingine ili uweze kugoneka mpaka kumaliza mzunguko wa pili nk.

Nafahamu kuwa huwezi kupata mwenza aliyetimia 100%. Je niamue tu kuwa huyu atanifaa sana kama mke, mama wa wanangu tukijaliwa inshallah na msaidizi muhimu sana kiuchumi maishani. Kwamba nijitoe muhanga kuwa sitapata penzi nililowahi kulipata kwingineko? Je sex ni muhimu kiasi gani katika maisha ya ndoa? Kwa wenye ufahamu naomba mnijuze. Asante.

Binafsi sijaelewa unaposema wa baridi mno,tatizo ni maumbile,
Ebu toa maelezo yanoeleweka ili upate msaada!
 
Dada ni mzuri sana wa sura na shape sio mbaya sana. Ana tambia nzuri. Kwa kweli nikimtazama najua atanizalia watoto wazuri sana. Amesoma na ni graduate. Kabahatika kupata kazi nzuri na kwa ujumla ana future nzuri, inshallah, kimaisha. Ananipenda sana na kwa ujumla nami nampenda. Ningependa awe wangu wa milele, ila tu kwa hili:

Ni wa baridi mno tuwapo maeneo. Na sio kuwa hajishughulishi, la hasha. Anajitahidi kutoa penzi zuri na anafundishika. Tatizo tu ni maumbile yake. Hayana mvuto. Kutafuta mzunguko wa zaidi ya mara moja inakuwa kazi kweli, mpaka hata inabidi uanze kujivisha sura na feelings za mtu mwingine ili uweze kugoneka mpaka kumaliza mzunguko wa pili nk.

Nafahamu kuwa huwezi kupata mwenza aliyetimia 100%. Je niamue tu kuwa huyu atanifaa sana kama mke, mama wa wanangu tukijaliwa inshallah na msaidizi muhimu sana kiuchumi maishani. Kwamba nijitoe muhanga kuwa sitapata penzi nililowahi kulipata kwingineko? Je sex ni muhimu kiasi gani katika maisha ya ndoa? Kwa wenye ufahamu naomba mnijuze. Asante.

"sio mbaya sana
" hapa ndiyo kuna tatizo, me ninachojua Maumbile ya huyo binti ni mazuri isipokuwa hujajua ni jinsi gani ya kuingia 6x6 na mtu mwenye figure kama hiyo:
figure za wanawake zinatofautiana:
1.Namba 8- huyu kila mwanaume anaweza kuwa naye
2.Namba 1-50% Wanaume
3.Namba 6-huyu kila moja anamtamani, ila anahitaji uwe na shule
4.Namba 9-huyu anahitaji mwanaume anayejua kuchezea matiti(N/A TO ALL WOMEN)

KIFUPI WEWE HUVUTIWI NA MAUMBILE YAKE, NAHISI BADO KUNA SHIDA HEBU KAA CHINI JIULIZE UNAMPENDA KAMA YEYE? KAMA UNAMPENDA JUST GO ON
 
kei ikiwa ya baridi ndio inakuaje? Haina stimu au? Sidhani kama kei inaweza kua ya baridi kabisa,yani yani isiwe na joto hata kidogo? Maana nachojua mimi human being ana temp ya 37celcius,sasa inakuwaje temp haipo distributed equally? Me don't buy dat bruh!

ila kweli au yeye ndio wa baridi sana hadi hiyo 37c haisikii.
 
Back
Top Bottom