Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 811
Hapo kwenye RED napata kizunguzungu kidogo! labda mimi ni slow lerner!
Mchizi kakosea kutunga vizuri ka'hadithi kake!
Hapo kwenye RED napata kizunguzungu kidogo! labda mimi ni slow lerner!
aisee yaani unajua atakaesoma na kukupa wazo lolot lazima amechanganyikiwa
kivipi nikisoma juu mpaka chini naona wewe ni mhuni alafu player kiswahili unajua
yaani ufundishiki usaidiki mtu mwenye kuweza kufanya mapenzi na mtu alafu akaweka hisia za mwingine hata usiku achelewi kuweka hisia anamegwa ..sorry kwa hili ila wazo lako sijajua nikusaidiaje
anafundishika. .
Dada ni mzuri sana wa sura na shape sio mbaya sana. Ana tambia nzuri. Kwa kweli nikimtazama najua atanizalia watoto wazuri sana. Amesoma na ni graduate. Kabahatika kupata kazi nzuri na kwa ujumla ana future nzuri, inshallah, kimaisha. Ananipenda sana na kwa ujumla nami nampenda. Ningependa awe wangu wa milele, ila tu kwa hili: Ni wa baridi mno tuwapo maeneo. Na sio kuwa hajishughulishi, la hasha. Anajitahidi kutoa penzi zuri na anafundishika. Tatizo tu ni maumbile yake. Hayana mvuto. Kutafuta mzunguko wa zaidi ya mara moja inakuwa kazi kweli, mpaka hata inabidi uanze kujivisha sura na feelings za mtu mwingine ili uweze kugoneka mpaka kumaliza mzunguko wa pili nk. Nafahamu kuwa huwezi kupata mwenza aliyetimia 100%. Je niamue tu kuwa huyu atanifaa sana kama mke, mama wa wanangu tukijaliwa inshallah na msaidizi muhimu sana kiuchumi maishani. Kwamba nijitoe muhanga kuwa sitapata penzi nililowahi kulipata kwingineko? Je sex ni muhimu kiasi gani katika maisha ya ndoa? Kwa wenye ufahamu naomba mnijuze. Asante.
Hapo kwenye RED ebu fafanuwa amesoma mpaka level gani, binafsi mimi ni form 4 Graduate, kumbuka hata darasa la saba wanagraduate.
![]()
hujampenda huyo dada, bora umuache uende kwa huyo unayemwaza wakati mki-doo
Unadai kwamba
Lakini hapo hapo unalalama
Ina maana hayo maumbile unayodai hayana mvuto sio sehemu ya shape yake ambayo unadai sio mbaya sana? Au kuna tofauti kati ya "shape" na "maumbile"?
Umesema ana sifa zote halafu tena kasoro za nini? Hizo sifa zote ni zipi sasa? kwa maelezo yako ni kwamba hana sifa ambazo ulishaziona kwa wengine, itakusumbua hiyo.
hili si kweli. nampenda sana tu. kwani ukimpenda mtu huoni dosari yake hata kidogo? sidhani kama ni kweli. ndio maana wanasema ukipenda chongo utaona kengeza. ila kwenye kwa sasa navumilia kwani nahisi ngoni sio kila kitu kwneye ndoa. ila shaka ni kuwa, je hilo ni la kweli au ndo na mimi naita kengeza chongo ya waziwazi? kwamba katika maisha naweza ishi na mke ambaye haniridhishi kingono na maisha yakaendelea kama kawaida. isije ikaja kuwa ni sababu ya kutoka nje ya ndoa badae.
ebu uliza labda anakuwa wa baridi kwa mlango wa mbele, wa nyuma utashangaa anakuunguza kabsaaaaaaaaaaaaaa