Dada ni mzuri sana wa sura na shape sio mbaya sana. Ana tambia nzuri. Kwa kweli nikimtazama najua atanizalia watoto wazuri sana. Amesoma na ni graduate. Kabahatika kupata kazi nzuri na kwa ujumla ana future nzuri, inshallah, kimaisha. Ananipenda sana na kwa ujumla nami nampenda. Ningependa awe wangu wa milele, ila tu kwa hili:
Ni wa baridi mno tuwapo maeneo. Na sio kuwa hajishughulishi, la hasha. Anajitahidi kutoa penzi zuri na anafundishika. Tatizo tu ni maumbile yake. Hayana mvuto. Kutafuta mzunguko wa zaidi ya mara moja inakuwa kazi kweli, mpaka hata inabidi uanze kujivisha sura na feelings za mtu mwingine ili uweze kugoneka mpaka kumaliza mzunguko wa pili nk.
Nafahamu kuwa huwezi kupata mwenza aliyetimia 100%. Je niamue tu kuwa huyu atanifaa sana kama mke, mama wa wanangu tukijaliwa inshallah na msaidizi muhimu sana kiuchumi maishani. Kwamba nijitoe muhanga kuwa sitapata penzi nililowahi kulipata kwingineko? Je sex ni muhimu kiasi gani katika maisha ya ndoa? Kwa wenye ufahamu naomba mnijuze. Asante.

Dada ni mzuri sana wa sura na shape sio mbaya sana.
Tatizo tu ni maumbile yake. Hayana mvuto.
Unadai kwamba
Lakini hapo hapo unalalama
Ina maana hayo maumbile unayodai hayana mvuto sio sehemu ya shape yake ambayo unadai sio mbaya sana? Au kuna tofauti kati ya "shape" na "maumbile"?
Chukua mzigo huo.... unaweza kuubadirisha Kei yake ikawa na joto yapo mazoezi ya kuufanyisha mazoezi na ikawa na stimu ya joto kali, wapo wanawake wanaokuwa na ubaridi, nilishawahi kukutana na mmoja maeneo ya Ifakara nikaambiwa wote wa kule ndivyo walivyo kwasababu ya kuoga maji ya mto ambayo ni ya baridi tangu utotoni, lakinmi nilipoonja mwengine akawa tofauti!Dada ni mzuri sana wa sura na shape sio mbaya sana. Ana tambia nzuri. Kwa kweli nikimtazama najua atanizalia watoto wazuri sana. Amesoma na ni graduate. Kabahatika kupata kazi nzuri na kwa ujumla ana future nzuri, inshallah, kimaisha. Ananipenda sana na kwa ujumla nami nampenda. Ningependa awe wangu wa milele, ila tu kwa hili:
Ni wa baridi mno tuwapo maeneo. Na sio kuwa hajishughulishi, la hasha. Anajitahidi kutoa penzi zuri na anafundishika. Tatizo tu ni maumbile yake. Hayana mvuto. Kutafuta mzunguko wa zaidi ya mara moja inakuwa kazi kweli, mpaka hata inabidi uanze kujivisha sura na feelings za mtu mwingine ili uweze kugoneka mpaka kumaliza mzunguko wa pili nk.
Nafahamu kuwa huwezi kupata mwenza aliyetimia 100%. Je niamue tu kuwa huyu atanifaa sana kama mke, mama wa wanangu tukijaliwa inshallah na msaidizi muhimu sana kiuchumi maishani. Kwamba nijitoe muhanga kuwa sitapata penzi nililowahi kulipata kwingineko? Je sex ni muhimu kiasi gani katika maisha ya ndoa? Kwa wenye ufahamu naomba mnijuze. Asante.
Aisay we wacha tu, ana shape sio mbaya tatizo ni maumbile itabidi tukajifunze kiswahili korea sasa :biggrin:Hapo kwenye RED napata kizunguzungu kidogo! labda mimi ni slow lerner!
Hapo kwenye RED napata kizunguzungu kidogo! labda mimi ni slow lerner!