Ana shida jimboni .... Afukuzwe CCM.... Aliahidi safari za Kawe/Japan... Hakuongea wakati wa Magu - Hoja ya mauaji bado haijajibiwa !!!

Ana shida jimboni .... Afukuzwe CCM.... Aliahidi safari za Kawe/Japan... Hakuongea wakati wa Magu - Hoja ya mauaji bado haijajibiwa !!!

espy

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2021
Posts
406
Reaction score
759
Mzee Msuya - sio mimi nasema - Mzee Msuya mtu wao wa system kabla hajafa alisema watu wa CCM ni wadhaifu sana kwenye kujenga hoja.

Bunge linasema:

Mtu mwenyewe ana shida jimboni
Afukuzwe CCM
Aliahidi safari Kawe-Japan
Kataja jina takatifu la mtoto wa Rais
Angeweza kuyamaliza kwa ushauri wa simu...
Hakusema wakti wa risasi za Lissu
Kuna kitu anatafuta

Bado hoja iko pale pale:

Angetekwa Abduli Suluhu Hassan ungejisikiaje ??????

View: https://www.facebook.com/share/v/1YhRCGY3k9/
 
Back
Top Bottom