Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,219
- 111,209
Dada ngoja tuwe wawazi hapa wala tusimung'unye maneno...
Wewe tayari umempenda huyo mwanaume lakini unatafuta wa kukufariji kuwa uamuzi uliofikia ni sahihi...
Kama ungekuwa haupo dilemma hii thread isingekuwepo JF sasa...
Sasa tunakuambia hivi acha ujinga hiyo k yako ni ya thamani na maisha yako vivyo hivyo...
We jiwehushe tu na kujifanya kama gari la mkaa kila trafiki analipiga mkono...utakuja kutoa mchozi wakati maji ndio yashamwagika...