ana mke na watoto 2 lakini kanizimikia.

ana mke na watoto 2 lakini kanizimikia.

duuh hii kitu ina majina.
@ mtoa mada za kushauriwa changanya na zako, ur no longer a form4 student kushindwa kuchuja apo bana. Grow up woman sasa mwanamke mwenzio aende waap! Tamaa tu izo zinamsumbua mkatae uone kama atajiuwa!

amhakikishie ile kitu tamu tu pindi anapohitaji, hata ndoa yake hataivunjika tena!
 
na ww si una mpenz wako? betray in the school,,,,fanya mambo mengine mdada asikuharibie siku huyo, tamaaa mbaya 20 p-cent
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom