Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Kwa kiasi fulani umeanza kujustify hiyo mess yako,
1.Mkeo ni wale wasomi wanaopenda kazi kuliko ndoa
2.Mnakaa mikoa tofauti

Hivyo nadhani anza na kushughulikia hayo mawili kwanza kabla hujakumbana na ngoma
Umri wangu sio wa kusema sitaki mbunye tena nikiwa na nyege nakuwa na hasira Sana tunalumbana kijinga hivyo ikanibidi nitafute kipozeo na mimi huwa napenda kuwa na mchepuko mmoja nakuwa najitahidi kuhudumia nilimtoa kwenye chumba na sebule nikampangishia nyumba mzima ya vyumba vitatu yenye fensi ili nikizama na gari watu wasinichore yeye katafsiri akinizalia naweza mnunulia hata bombardier 2 hapa ndo naona kosa langu na hajui ndo anaenda kunikosa jumla
 
Unakufuru kiongozi, yaani unataka uuwe kiumbe kinachotayarishwa na Mungu kuja duniani. Unapaswa kujiuliza wewe ni nani. Unaeweza kuingilia Mipango ya Mungu kugharibi anachokileta duniani. Huyu baby anaekuja ana nafasi yake hujui atakuwa na atakuja na nini.

TAFAKARI.... CHUKUA HATUA

Sent from my SM-G5510 using JamiiForums mobile app
 
Wakat unampa pesa ulikuwa una target cz ulikwisha kujua unacho hitaji,,, ungeweza hata mkabidhi mwanao kwa mwalimu wa kiume. Banjuka na mzaz mwenzio
 
dah, mimi kuna binti sina mpango naye na alijua kabisa, siku hiyo kaja kanilazimisha nile papuchi balaa, sipendagi kula papuchi kwangu , na sikuwa na hamu kivile kanilazimisha sana . mwisho nikaenda guest nikiala akasema tena nitatumia dawa nataka kavu dah kidume nikala, kumbe kanitegea bhn, kapata mimba hataki kutoa tumegombana kwa mara ya kwanza nikajikuta natoa tusi, siyo desturi na kawaida kwangu, nikawa sina jinsi, mwezi wa saba huu, na anaomba hela balaa yani anaboa kweli

Unatakiwa umtunze mwanamke akibeba mimba na kuamua kukuzalia muheshimu jamani na mshukuru watu wanatafuta watoto hawapatii
 
2021 still watu wanakula kavu kavu wanawake wa kuokoteza kitaani.

Vaeni KONDOMU.

Aisee
 
Back
Top Bottom