Ana mchumba wake lakini anataka nimpe mimba

Kwahiyo mkuu upo tayar kuitosa damu yako na apewe baba mwngine?
Huyo mwanamke angekua namapenzi ya kweli kwako angekubali kuolewa na mtu mwngne?

Sent using Gun Trigger
 
Hayo ni mapenzi ya watoto wenye miaka 16 hadi 19 hasa wa kijijini, baada ya kuozeshwa kwa lazima.
 
Mkuu hebu vuta taswira kama ingekua ni wewe ndio manzi yako anaenda kukufanyia hivo kwa mwamba mwengine
 
Achana naye ndugu yangu. Huyo ameshakuwa mchumba wa mtu mwingine. Usije ukahatarisha maisha yako au ya huyo binti au hata huyo mtoto atakapozaliwa na kugundulika siyo damu ya mwenye mke.

Mimi nilikuwa na gf wangu zamani, katika harakati za maisha ya kusoma akaolewa; but yule dada akaahidi kuzaa nami by any means! Alikaa miaka 4 bila kuzaa akiwa kanisubiria!

Niliwaza mengi sana, hasa nikifikiria mwanaume mwenzangu anamtunza mkewe alafu mimi nitie mimba tu, siyo siri roho iliniuma nikaamua kuachana kabisa na hadi kukata mawasiliano.
 
Wee jamaa bwana.. Sasa unashangaa kwa nini hataki umuoe wakati ulishasema huyo mume mtarajiwa ana ndalama😂😂😂😂😂😂

Wee mzee papuchi igonge tuu sii anaileta mwenyewe bwana na mimba mpe tuu.... Hapo utajihakikishia kupewa papuchi mkumbushie.
 
Haya maswali uliyouliza mwishoni yanaonyesha kuwa somehow umeumizwa na huyo mwanamke kuolewa ila si ishu ya msingi.

Ishu ya msingi ni hii, upo tayari mwanao abebe jina la mwanaume mwingine? Utaweza kumwangalia akikua huku akijua ww si baba yake? Kama jibu ni ndio mpe mimba.

ANGALIZO: KAMA UNAMPENDA PINDUA MEZA, MAANA INAWEZEKANA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom