Ana kwa ana na Dr.Ulimboka

Ana kwa ana na Dr.Ulimboka

hivi na yenyewe ni issue ya kuripoti!! hicho chuo kuna watanzania wangapi? usitukumbushe majonzi tuliyokuwa tumeshayasahau bwana!
 
Mwishoni mwa juma hili,nilikuwa nchini Uganda kumsindikiza kigogo mmoja wa CCM na Serikali aliyekwenda kutoa mkono wa pole kwa Rais Yoweri Kaguta Museveni ambaye hivi karibuni alifiwa na mama yake mzazi. Baada ya kuhani,tukarejea Kampala na miji ya pembezoni kutembeatembea na kupunga upepo.

Mimi niliamua kwenda kumtembelea 'classmate' wangu wa UDSM ambaye anahadhiri Makerere University. Ni Profesa wa Sheria pale. Tukazungumza vya kutosha na mwenyeji wangu ambaye alikuwa kwenye viunga vya chuo hicho. Baadaye nikamuaga kurejea nilipomuacha kigogo niliyemsindikiza aliyekuwa ananisumbua mno kwenye simu kama mtu asiyejiamini.

Wakati natoka viunga vya Makerere,nikamuona Dr.Stephen Ulimboka. Mimi hanijui kama akina Abed na Ighondu. Nikajipendekeza kumsalimu kwa kiswahili fasaha. Akaniitikia.Anasoma pale. Ana siha njema na mwenye furaha. Tukaongea na kufahamiana.

Anawashukuru watanzania wote kwa ujumla wao kwa kila sala,swala na nia njema kwake. Hana mengi zaidi ya shukrani.Amesema tukio lake limemsogeza karibu na Mungu na watanzania. Ilifika wakati alilia kwa furaha kwa stori zangu za huku Bongo na maisha kwa ujumla.

Dr.Ulimboka yu imara na anasonga mbele!

VUTA-NKUVUTE wa Lumumba Dar es Salaam

Ili nikuamini weka picha mliyopiga pamoja.
 
Hapo kwenye red kama story yako ni kweli na huyo kigogo ni mwajiri wako, basi wewe utakuwa ni mwajiriwa "mpumbavu". Inakuwaje unashindwa kuheshimu kazi yako? Boss wako akisoma hapa lazima akutimue kazi sijuhi utamlaumu nani?
Jifunzeni kuheshimu kazi zenu jamani!! Ndoo maana watu wanaamua kuajiri wageni kuliko midomo mirefu kama
wewe.

Mkuu, hivi uhasama wa Taifa boss wao ni nani vile ?
 
Mwishoni mwa juma hili,nilikuwa nchini Uganda kumsindikiza kigogo mmoja wa CCM na Serikali aliyekwenda kutoa mkono wa pole kwa Rais Yoweri Kaguta Museveni ambaye hivi karibuni alifiwa na mama yake mzazi. Baada ya kuhani,tukarejea Kampala na miji ya pembezoni kutembeatembea na kupunga upepo.

Mimi niliamua kwenda kumtembelea 'classmate' wangu wa UDSM ambaye anahadhiri Makerere University. Ni Profesa wa Sheria pale. Tukazungumza vya kutosha na mwenyeji wangu ambaye alikuwa kwenye viunga vya chuo hicho. Baadaye nikamuaga kurejea nilipomuacha kigogo niliyemsindikiza aliyekuwa ananisumbua mno kwenye simu kama mtu asiyejiamini.

Wakati natoka viunga vya Makerere,nikamuona Dr.Stephen Ulimboka. Mimi hanijui kama akina Abed na Ighondu. Nikajipendekeza kumsalimu kwa kiswahili fasaha. Akaniitikia.Anasoma pale. Ana siha njema na mwenye furaha. Tukaongea na kufahamiana.

Anawashukuru watanzania wote kwa ujumla wao kwa kila sala,swala na nia njema kwake. Hana mengi zaidi ya shukrani.Amesema tukio lake limemsogeza karibu na Mungu na watanzania. Ilifika wakati alilia kwa furaha kwa stori zangu za huku Bongo na maisha kwa ujumla.

Dr.Ulimboka yu imara na anasonga mbele!

VUTA-NKUVUTE wa Lumumba Dar es Salaam
kwa taarifa yako hiyo sijui kama atafika 2015
 
mkuu VUTA-NKUVUTE nimejaribu kufuatilia orodha ya majina ya watu alioruka na ndege zote kuelekea kampala/Enttebe kwa siku zote za wiki iliyopita, sioni jina la kigogo wa ccm alieelekea huko.Je! mlisafiri kwa kutumia majina bandia? ni Mimi Joram Kiango wa Hapa Air Port.
 
Last edited by a moderator:
Hii thread imekuvua nguo mkuu,kuanzia leo sikuamini tena
 
Hivi ni sahihi kumwaga jamvini taarifa binafsi za mtu? Halafu mtu mwenyewe ni Uli, ambaye ni muhanga wa watu wenye nia mbaya...

kwanza ameshaanza kunitia mashaka huyu ULI maana kama kweli akina abeid walimnaniiii mbona hasemi hapa au ndo anaogopa siri zake zitavuja tena yule ahmed alimtambua pale muhi2 kwa sasa ndo anamrithi kov.a sasa hapo kuna kumuonea huruma huyu ULI kama yupo hata humu afunguke bana hii ni sehemu ya ma-great thinker bana
 
JF ni noma!! Ina mtandao mrefu kiasi kwamba mtu akija na porojo anavuliwa nguo hadharani.
Hii nimeipenda.

mkuu VUTA-NKUVUTE nimejaribu kufuatilia orodha ya majina ya watu alioruka na ndege zote kuelekea kampala/Enttebe kwa siku zote za wiki iliyopita, sioni jina la kigogo wa ccm alieelekea huko.Je! mlisafiri kwa kutumia majina bandia? ni Mimi Joram Kiango wa Hapa Air Port.
 
Kwamba alishambuliwa ni tukio la kweli.Lakini kuna kizaazaa ambacho kisingekuwa cha lazima kuhusu afya,kazi,makazi,na maisha anayoendelea nayo Dottore Ulimboka.Lililo kizaazaa zaidi ni kwamba mtoa taarifa wetu MWANAHALISI,amefungiwa.Kamanda Ramadhani IGHONDU haeleweki alikokwenda kama yu hai au wenzake walimpeleka kule alikoshindwa kumfikisha DOTTORE ULIMBOKA.Lakini siku moja ukweli mama ya ukweli wa tukio zima utakuwa wazi na watakaokuwa hai,watawekwa huru!
 
Kwa hiyo mumeamua kumfuata mpaka huko alipo?
Magamba jamani mwacheni kijana wa watu siku zake za kufa zi bado!

Back
Top Bottom