Elections 2010 An sms from CCM

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
tusimpe nafasi shetani ya kulimeza taifa lenye amani kwa udanganyifu wa sera zisizotekelezeka wanazotoa upinzani.
pasipo kikwete na ccm taifa hatarini
my take
hii msg wamenitumia ccm kama nusu saa ivi iliyopita.
kama imekaa kiuchochezi
tcra fanyieni kazi izi msg as zaweza leta uvunjifu wa amani
 
Tatizo TCRA hawaamini kuwa siku moja CCM wanaweza kubadilisha kambi na wakaitwa Chama Cha Upinzani, it is all matter of time. As French Saying goes "QUI VIVRA VERA = TIME WILL TELL"
 
Na chadema nao waandike zao... Tena zipo nyingi tu:a s 13:
 
unajua kuchukuwa taarifa kama hizo na kuziweka hapa ambapo wengine walikuwa hawajuhi ni kuwapa nguvu hao jamaa kwani kuna baadhi ya watu wanaweza kubadilika kwa hizo sms tuu!
 
unajua kuchukuwa taarifa kama hizo na kuziweka hapa ambapo wengine walikuwa hawajuhi ni kuwapa nguvu hao jamaa kwani kuna baadhi ya watu wanaweza kubadilika kwa hizo sms tuu!

Mkuu 2010 HATUDANGANYIKI
 
Naona Shimbo atatusaidia kuwatafuta hawa wanaotaka kuvuruga Amani ya nchi yaani wanafikia hatua ya kuwaita wapinzani mashetani
 
Mmmh naona tumewageuza TCRA kuwa TAKUKURU na POLISI.

Hivi mbona hakuna anayelalamikia SMS za TAKUKURU. mimi nilipata kadhaa wiki chache zilizopita.

ushauri wangu ni ku ignore tu hizi sms, ukipata futa hakuna haja ya kujibu.

YOTE MWISHO TAREHE 31 OCT 2010 - UKWELI UTAPATIKANA, HAKI ITATENDEKA.
Sijui watatuma ujumbe gani sasa mmmh.

SIKU kumi na nane (18) tu za kutusumbua, bye byeeeeeeeeeeeeeee

Tumeni mkichoka mtaacha.
 
waache watapetape...! ahadi za kikwete za meli 4 so far wakati miaka mitano iliopita hajanunua hata pantoni moja...!

kazi yake ilikuwa kuzindua miradi ya mkapa tuuuuu....!

kama wanapenda sura yake mchukue ukanywe nae chai...! KWENYE UONGOZI HUYU JAMAA NI ZEROOOO...!
 
Kujua sender wa msg sio big deal kabisa it takes no time...ila koz zinalenga kukisimamia chama tawala ndo maana hakuna kinachofanyika....Ila as mchangiaji wa juu hapo alivyoaindika kuwa Time will tell........
 
Hivi mfano hizi message zingekuwa zina msema JK, TCRA/Police and the rest, wangesema kuwa hawawezi kuzishughulikia mpaka uchaguzi upite??
 
tusimpe nafasi shetani ya kulimeza taifa lenye amani kwa udanganyifu wa sera zisizotekelezeka wanazotoa upinzani.
pasipo kikwete na ccm taifa hatarini
my take
hii msg wamenitumia ccm kama nusu saa ivi iliyopita.
kama imekaa kiuchochezi
tcra fanyieni kazi izi msg as zaweza leta uvunjifu wa amani

Mimi pia nimeletewa meseji za ccm toka waanze komedi yao hii; kwa bahati nzuri ingawa wao hawafahamu nadhani wote wanaowapelekea ni watu wenye uelewa ambao wamekwishamua kumyima Kikwete kura zao!! Imekula kwao waache wajisumbue.
 
Hivi mfano hizi message zingekuwa zina msema JK, TCRA/Police and the rest, wangesema kuwa hawawezi kuzishughulikia mpaka uchaguzi upite??

Hapana wasingekaa kimya; wangefanya kama walivyofanya wakati ule picha ya kumkashifu Jakaya ilivyotokea kwenye mtandao wa UTAMU!!
 
Back
Top Bottom