An Open Letter To My Ex.

Perth

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
3,241
2,000
kabisa mkuu na ndo namuona malengo yake bora ulivyo ongezea msumari katika mawazo yangu yaliyokua yanayumba
Sikuzote usikubali demu anakuacha halaf hapo hapo anataka uwe rafiki yake. Agachangia ww kuto ku move on. Na pia anakuweka kiporo.. iwapo alienae akifeli anarud kwako tena.

Ww pandisha dhamani yako. Muonyeshe you can live without her.
Hiyo itamchanganya sana japo hatokwambia.
Just move on without kujal anawaza nn

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sweet16

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
4,415
2,000
Mkuu, Mungu akiwa na nafasi kubwa ndani yako, huwezi pata nafasi ya kumuweka mwanadamu mwenzako uliyeachana naye miaka 2 ilopita kila siku kumuwazia Yeye.

Umekosa balance ya vile uviwekavyo moyoni mwako Mkuu.
Hata ukiwa na Mungu nafasi ya ubinadamu inabaki pale pale na ndo maana hata Mungu mwenyewe alituweka kuwa na wenza na hisia aliziweka yeye
 

Perth

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
3,241
2,000
She's a soul snatcher I see,kibuti changu cha kwanza kilinifanya nihame nchi kabisa,ila nilirecover ndani ya muda mfupi,na mpaka leo sijawahi kuwa tena na mapenzi kama ya mleta uzi yale ya kifilipino,fairy tale love, mahaba niue type,nakuwa nipo mguu ndani mguu nje,hata akizingua maumivu ni siku mbili tatu tu yanaisha.
Maumivu ya mapenzi yasikie tu kwa watu,yasikukute,hasa uwe umependa ile kindakindaki alafu huyo uliempenda alikuwa na manjonjo,udambwi namadoido yakipekee,yaani kuna kama tonge/donge unaliskia limekwama kooni,uchungu uchungu,stelesi,majuto na huzuni.alafu kila nyimbo inayopigwa unahisi inazungumzia situesheni yako

Bahati mbaya enzi hizo nlikuwa sjagundua maajabu na faida za mmea.

Sent using Jamii Forums mobile app
kila nyuzi jf utaona zinakureflect wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Blessed

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
3,628
2,000
No formula Chief, nafurahii umefafanua vyema.
I am xperiencing the same experience imeelezewa na mjumbe hapo, Cha kufanya Kama bidada hajaolewa mtafute muanze upya, tofauti na hapo this thing will hunt you forever!
 

Blessed

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
3,628
2,000
All things are difficult before they are easy.. Don't give up!!!

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
duh! Mhhh ! Mkuu Cute b una mabusara, unatoa wapi hayo maneno mazuri hivyo, I am impressed and inspired kwa kweli na comments zako!
 

The Technologist

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
685
1,000
Hata ukiwa na Mungu nafasi ya ubinadamu inabaki pale pale na ndo maana hata Mungu mwenyewe alituweka kuwa na wenza na hisia aliziweka yeye

Nadhani bado hunielewi.

Nimesema MUNGU akiwa na NAFASI KUBWA ndani yako. Na kukosa uwiano wa uviwekavyo moyoni.

Unapofikia hatua unashindwa kufanya maisha kisa umeachana na mpenzi wako, huko no kumaanisha Unamwabudu mwanadamu mwenzako namaanisha umejifanyia mungu (miungu) kitu ambacho hata amri kumi zimekataza.
 

luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
12,522
2,000
Men! men! men!! Men banangee! are good pretenders, look at this kaboy😂 ....... Is this a song or what?? Mh! Young boy tell us what happened be4😂
 

cute b

JF-Expert Member
Aug 14, 2014
16,921
2,000
duh! Mhhh ! Mkuu Cute b una mabusara, unatoa wapi hayo maneno mazuri hivyo, I am impressed and inspired kwa kweli na comments zako!
Oooh, oooooow.
Asante mkuu nafurahi kusikia umekuwa inspired.
Thank you.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 

Kingfisher

JF-Expert Member
May 22, 2015
3,706
2,000
There is something called memories bro, that's what pain you the most and it hurt you now when you are lonely while you used to be with her at sometime somewhere....its 6 years now am trying to move on but it's not possible cha msingi bro wew tafuta dogo mkali kumshinda yeye na akuoneshe upendo huyo ex atasahaulika tu.. Mimi napataga Vitoto vinajua caring mpaka namsahau but then wakiondoka narudi in the darkest side of my past

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa mkuu...zile feelings huwa haziondoki

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kingfisher

JF-Expert Member
May 22, 2015
3,706
2,000
SOMETHING YOU FORGOT

[Hook]
I've been lonely, I've been waiting for you
I'm pretending, and that's all I can do (that's all I can do mama)
The love I'm sending ain't making it through to your heart (I hope you hear me)

[Verse 1]
Pain, since I've lost you, I'm lost too
Nigga feelin' like he at the bottom like a horse shoe
Sorry for the trouble that I put you and your heart through
God knows that I'd do anything for a part two, or to
Be prayin' for the day you come back to me
Sayin' that you forgive me, give me another chance
I'm needin' it like a kidney, I don't wanna advance
Give me back her hands, give me back her touch
I don't ask for much, but I fucked up
I know I fucked up, I admit I fucked up
But everybody https://jamii.app/JFUserGuide up, now this other nigga lucked up
Tell him me and my clique don't give a https://jamii.app/JFUserGuide
Cause um, we from New Orleans, she was from Georgia
She was my down chick, I was her soldier
I was her gangsta, she was my shoulder
You were the pistol to my holster... BANG!

[Hook]
You've been hiding, never letting it show
Always trying, to keep it under control (I see you hidin' it mama)
You got it down, and you're well on your way to the top (keep doin' your thing)
But there is something that you forgot


[Verse 2]
You forgot about the house, you forgot about the ring
I remember everything, I just wanna hear you sing
I remember the love, right after the fights
You can't tell me you don't remember those nights
And if I would cry, then you would cry twice
To me you are the brightest star under sunlight
See take away my title, take away my stripes
You give me back my girl and you give me back my life
Give me back my girl and you give me back my life
See this is just a nightmare, so I blink twice
Open up my eyes hopin' she'd be in my sight
I remember the time, I wish I could bring it back
What she mean to me, is what I mean to rap (what I mean to rap)

[Hook]
You've been hiding, (y'know) never letting it show
Always trying (I see you hidin' it mama)
To keep it under control (but I know you know)
You got it down (I know you do)
And you're well on your way to the top
(but I wish you and yours nothin' but happiness shawty)

[Verse 3]
But I hope you haven't forgot about me
Up in the livin' room watchin' Sports Center
You were cookin' dinner, I was such a sinner
But the Lord is a forgiver, you know they say if you pray
Then you can get your blessings ordered and delivered
And your boyfriend is not like me
Ma, you even went and got a teardrop like me
I remember we would sit at home all day
You called me "butta," I called you "bae"
My momma asked about you, my partners did too
I know your daughter will be so amazin' like you
And I know you probably wish you never met me
And I just wish you never forget me, and let me say
Please don't worry 'bout the women I have been with
No engagement can amount to your friendship
And I hope that nigga know he got a queen
And all I can do is dream, damn.Sent using Jamii Forums mobile app
 

magombe junior

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
1,878
2,000
I was once there,I dont think I can back again anytime soon


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom