An Open Letter To My Ex.

An Open Letter To My Ex.

Uko mbali sana na Mungu ndio sababu uko katika hali hiyo kwa miaka miwili, Ibada ya kila siku haiwezi kukuacha uwe mtumwa was mapenzi hata Sikh moja.

Ha hah

Nani kakwambia nipo mbali na Mungu.?

Sijui nikueleze nini hapa ila She is in my VEINS and I cant help it.
 
There is something called memories bro, that's what pain you the most and it hurt you now when you are lonely while you used to be with her at sometime somewhere....its 6 years now am trying to move on but it's not possible cha msingi bro wew tafuta dogo mkali kumshinda yeye na akuoneshe upendo huyo ex atasahaulika tu.. Mimi napataga Vitoto vinajua caring mpaka namsahau but then wakiondoka narudi in the darkest side of my past

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa and itsnot like Am not dating.

I just cant forget HER.
 
You hurt yourself broo you know what don't thnk to much kama ushawai fiwa na mtu wa karibu naisi unayajua maumivu yake ila yanasahulika ila kuyasahau inaanza akilini mwako, muuwe akili mwako ona kama ameshakufa yani yeye anapata raha ww unaumia aise aya bana

Kujiuwa kunaanzaga taratibu kama ivi mwishowe unaamua kujitundika.
Toka nje na ufurahie maisha yako ila usijaribu tena kuwa na mtu mmoja utakufa mapema

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahsante.
 
Kuna watu wana stack in the past wakati wenzao wana move on. Lakini kuna exception ktk haya mambo: namfahamu mtu mmoja alikuwa na girlfriend wake na walipebdana saana. Lakini yule mdada akaja olewa na mtu mwingine na jamaa pia akaoa. Wote wakapata watoto ktk hizo ndoa zao. Baada ya miaka fulani wakakubaliana waachane na wenza wao wakaone wao tena, na kweli yule mwanamke akaachana na mume wake na yule jamaa akmuacha mkewe wakaenda oana na wanaishi mpaka sasa.
Haya mambo hayana formula moja.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
No formula Chief, nafurahii umefafanua vyema.
 
Kilichonifanya nikasoma hadi mwisho ni kingereza.
Ila kingereza kina raha yake jamani.
Ndiyo maana Mimi mtu akinitongoza kingereza huwa sikatai namkubalia hata kama nina mtu baadae nitajua cha kufanya.
Joking apart!!
Kwani nini kilitokea? Bado unampenda mwambie!

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
You cant Hurt some one kwa sababu kama hizo, LOVE is a commitment thing.

NAMPENDA, She knows.
 
Ha hah

Nani kakwambia nipo mbali na Mungu.?

Sijui nikueleze nini hapa ila She is in my VEINS and I cant help it.

Mkuu, Mungu akiwa na nafasi kubwa ndani yako, huwezi pata nafasi ya kumuweka mwanadamu mwenzako uliyeachana naye miaka 2 ilopita kila siku kumuwazia Yeye.

Umekosa balance ya vile uviwekavyo moyoni mwako Mkuu.
 
Just die and we will take care of her on your behalf. While you’re here crying and all that, she is somewhere getting some creampie hardcore sex. So get off your moms breasts your bottles are in the refrigerator.
Ha hah

Haina noumer Bro,
 
In my experience it is very rare. I mean it depends na bahati. Ila most of the time there is no going back
Kuna watu wana stack in the past wakati wenzao wana move on. Lakini kuna exception ktk haya mambo: namfahamu mtu mmoja alikuwa na girlfriend wake na walipebdana saana. Lakini yule mdada akaja olewa na mtu mwingine na jamaa pia akaoa. Wote wakapata watoto ktk hizo ndoa zao. Baada ya miaka fulani wakakubaliana waachane na wenza wao wakaone wao tena, na kweli yule mwanamke akaachana na mume wake na yule jamaa akmuacha mkewe wakaenda oana na wanaishi mpaka sasa.
Haya mambo hayana formula moja.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha my worst break up. 3 years ago.
How spent almost mwaka na nusu kujarib kupona lakini wapi..
The thing is hatuwez wasahau watu ambao yulishare nao best memoments of our life. Daima memory zitabaki pale hata kama tukijarib kuzisahau vip.
The best thing to move on ni kujifunza kuispress hiyo hali. Pole pole utarudi to normal.
Siku ambayo utajua umepona.. ni siku ambayo utakutana na ex wako na usifeel anything

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Love is passion, Mkuu. Mapenzi ni zaidi ya ugonjwa wa akili usipopata tiba utaumiza mwili+ akili+fikra, so kuwa makini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom