An article from January Makamba on the Obama visit to Africa

An article from January Makamba on the Obama visit to Africa

january Makamba..... Njoo ujibu hoja huku
 
Last edited by a moderator:
january Makamba..... Njoo ujibu hoja huku

Viongozi wa Tanzania hawana culture ya kujibu hoja zao. Na kiasi fulani inatokana na wao kujiona ya kuwa wako juu ya wale wanaowaongoza. Mjadala huu ungekuwa mzuri kama mheshimiwa angeshuka kutoka kwenye kiti chake cha enzi, na kuja chini huku kujibu hoja.
 
Mdau, why did you say hakupaswa kuandika kama kiongozi wa serikali, how does that block him from airing his view bout Tz and Africa in general to the Potus?

Alitakiwa kuandika kama january makamba. Yeye ameandika kama Deputy Minister. Serikali ina msemaji wake.

Mwisho wa article yake amendika hivi: Mr. January Makamba is a Member of Parliament and Deputy Minister of Communication, Science and Technology in Tanzanian government. He is also the World Economic Forum’s Young Global Leader and Archbishop Tutu Leadership Fellow

Alitakiwa kuandika kama january makamba. Yeye ameandika kama Deputy Minister. Serikali ina msemaji wake.

Mwisho wa article yake amendika hivi: Mr. January Makamba is a Member of Parliament and Deputy Minister of Communication, Science and Technology in Tanzanian government. He is also the World Economic Forum's Young Global Leader and Archbishop Tutu Leadership Fellow

Mwana M., sorry don't mean to be naggy, but that's who he is afterall!, and I guess it's more professional for him to have his title on that letter, I don't see anything wrong with it so to speak!
 
Umewahi kufanya kazi serikalini? Unaelewa kitu kinachoitwa bureacracy ndani ya serikali?

Its a well written article, but quite Useless at the moment.
 
kuna vijana wengine hata sielewi walitokea wapi na wakawa wanasiasa wa tanzania,nafikili anahitaji kwenda kutambika kwao kwanza.....
 
wananchi wake wa bumbuli ni maskini sana wakati yeye ni tajiri kupitiliza! nashauri hii barua ajiandikie yeye ili fedha alizoficha nje zitumike kwa wanachi wake na tanzania kwa ujumla.....! Au anadhani Obama ndiye yule mjomba anayekuja na fedha kwa maendeleo yetu?

Tazama JM anawafanyia nini wana Bumbuli, sio vilaza wenu wanakalia kukusanya fedha na kujikopesha kujijengea majumba ya kifahari: Bumbuli Development Corporation... Coming Soon!
 
Mkuu Zomba!

Bumbuli Cooperation....coming soon...hahaha...wakati mimi na wewe tunaandika....hicho unachojaribu kumfagilia hakijafanyika...kinakuja...na hadi kije ndio uongee!

Hana lolote huyo jamaa, tena afadhali ha kingunge na uzee wake....yupo alipo kwa shavu la dingi yake! Tena usitake niseme jinsi wananchi wa bumbuli walivyo hongwa na kuleweshwa pombe ili wamchague yeye!

Nafasi aliyonayo kwa sasa ana nini cha kujivunia kuwa amewasaidia watanzania, kutoka hali mbaya iliokuwapo na alipo kuja yeye kaiboreshaje? OOOh nimekumbuka....kumbe alipiga picha na Bajaj mpyaaa huku ameshika ipod 3 na V8 inamsubir kwa kuleeee? Next time mwambie apige picha na acc za hela alizficha...sema suuuuu tuziweke hapa!
 
Tazama JM anawafanyia nini wana Bumbuli, sio vilaza wenu wanakalia kukusanya fedha na kujikopesha kujijengea majumba ya kifahari: Bumbuli Development Corporation... Coming Soon!

What does "Coming Soon" actually mean soon?

I mean how many days, weeks, months or years?

There is this movie I want to see on TV, but it says "Coming soon" and not in two weeks or a month or something?

Nimekuwa nikiiona hii site ikisema "Comming Soon" tokea mwaka 2011 kama sijakosea.
 
Visit the site.
 
Mtu aliyewahi kutiwa hatiani kwa wizi wa mtihani, kwangu mimi hata siku moja hana maana yoyote na hawezi kuwa na moral authority ya kutusemea watanzania.
Kama wananchi wa Bumbuli waliolazimishwa awe mbunge wao kwakuwa hawakuwahi kumpigia kura, hawajaona matunda yoyote ya yeye kuwa mbunge wao, hivyo basi hana chochote cha kujivunia kwamba ame achieve kwa kuwatumikia watanzania pamoja na kubebwa sana kila mahali alikopita.
 
Back
Top Bottom