Amyner!

yaani mie nimekua adui yako usiku huu?
Wakati mchan kutwa tulikuwa tunakimbizana na suti zetu za asili nyumba nzima? Sitaki kuamini..........


Anyway....
Amyner unamrudia Erickb52? Ule mjenho wa The Boss unaurudisha?

Acha uchokozi! Iache ndoa ya watu idumu,
humu ndani wapo vijana wengi tu hawana wenza.......... erickb2 na Amyner kesho watasafiri kwenda Uswisi kupumzika kwa wiki 2!
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu kanionea BADILI TABIA humu ndani? Ni hilo tu. Mkimwona mwambieni namsubiri a-come this way......
 
Last edited by a moderator:
Erotica umecgelewa....mchukue BADILI TABIA mkajipange upya
 
Last edited by a moderator:
Acha uchokozi! Iache ndoa ya watu idumu,
humu ndani wapo vijana wengi tu hawana wenza.......... erickb2 na Amyner kesho watasafiri kwenda Uswisi kupumzika kwa wiki 2!

Dah natamani hata niondoke na bibie usiku huu kwenda hukooo kuwapisha hawa majungj makers
 
Last edited by a moderator:
ww tulifanya bila makubaliano. ungeweka bayana yote haya yasingekukuta. teh teh
We sema ulinogewa tu huna lolote
Kwani hukujua mi mume wa Amyner ?
Sitaki tena
 
Last edited by a moderator:

pole na misukosuko na höngereni kwa kufikia muafaka. Unakumbuka nilikudadecate HAKUNAGA eee?
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 kulikoni, mbona hukunishtua jirani yako nije? pole kwa yote na ushikamane!
 
Last edited by a moderator:
Napita tu hapa, nahisi kizunguzungu kimenipata. Sina hamu kuonwa nina roho mbaya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…