Amwagi kabisa

Pole sana, ilanitatizo dogo tu kuacha hiyo tabia, pili. Kutojihusisha na kuangalia picha za ngono na kufanya mazoezi , pumzisha mwili pamoja na akili.
 
Ila Mhucka ni wewe mkuu,sema umeuliza kiujanja tu.
 
Amuone daktari haraka iwezekanavyo, punyeto sio inayomsababisha asikojoe, ni jamaa yako mwenyewe anasumbuliwa na matatizo ya kiafya
 
kajamaa kajanja sna katatzo ni kako ila unamtupia mshkaj wko,acha janja sema usaidiwe
 
Mwanaume ambaye hamwagi tunamuita MULTORGASMIC MAN, ni mzuri kwenye game, hasa hama anaweza kutumia uume wake vizuri, ila kama hamwagi 100% basi kutakuwa na hililafu sehemu.

Nnamshauri, awe anafanyia massage p.u.m.b.u zake, itasaidia kufungua mirija inayo safirisha na kuhufadhi manii.

Pia massage inasaidia kuongeza sperm production kwa sababu ukifanya massage unaondoa congestion ambayo ipo pumbuni.


Zaidi zaidi nenda hospitali kwa uchunguzi zaidi.
 

He ....

Kumbe korodani zinafanyiwa masaji!
 
matokeo ya kupenda kuwekeza kwenye Tigo ndo haya.amwone daktari mapema.
 
Yeah, nenda berbershop pale wakufanyie, kama unaona aibu fanya mwenyewe wakati wa kulala/ unapokuwa peke yako.
Mimi huwa sina muda wa kucheza na cheti zangu, kwakweli sitothubutu nikae nijishike shike hapana
 
Hivi njyie watoto mna matatizo gani na kiswahili?
Amwagi-Hamwagi
Aya-Haya
Ebu-Hebu
Akuna-Hakuna
Aji-Haji

Mna matatizo gani nyie?

Halafu ukitazama wenye haya matatizo ni wale wa kuanzia miaka 13-25,mmeumbwaje nyie?
 

Wakupe majibu gani tena,mbona majibu ni hayohayo ambayo ulishampatia ya kwamba aachane na mambo ya kujichua.Uwe na confidence kijana
 
Kwanza aache kupiga puli....Pili ale vitu ambavyo vitasaidia kuwa na mihemko atakapokuwa na wapenzi wake...Mfano Karanga Mbichi, Korosho, Vinywaji vinavyoleta mihemko, Mayai na yai asikaange hadi likakauka liwe kidoogo na ule ute....Achanganye pia yai bichi na maziwa anywe...nk..Ale vyakula vinono nono vya kupika nyumbani...



aache kupiga puli sasa, maana inaoneka anapiga puli mpk 'mabegu' yanaisha af akienda kwa demu anatoa hewa.....mpe pole
mwambie ale karanga mbichi za kutosha...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…