Amwagi kabisa

Wa mgao

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
321
Reaction score
73
Habareee!

Jamaa yangu amekuwa na msiba mzito sana maishani mwake
Truly ameniomba ushauri juu ya tatizo lake kuwa hajawahi kumwaga manii au mbegu au shahawa toka aanze kufanya mapenzi na mabinti,kwa sasa anadai amefanya mapenzi na mabinti 6 ili kujaribu kuling'amua tatizo lakin hali ni ileile

NILICHOMSHAURI
Aache mchezo wa masterbeshen na amekiri kuwa anafanya mchezo huo

Wanajf jaribuni kunipa majibu zaid ili nimwokoe ndugu yangu huyu
Actually ana miaka 26
 


wapiga puli hawana tatizo la kumwaga..wenyewe wanamwaga haraka haraka..
 
sijaelewa vizur
yani akienda kwa demu hamwagi, lakini akipiga puli anamwaga au?
 
Hahahaaaaaaaaaa yan nmecheka sana leo kwa hii koment yakoo inaonyesha umefikir mbali sana mkuu

mkuu kweli nimefikiria mbali sana hii nchi inawatu wa ajabu sana
melo aliliona hilo way back 2006 alipoamua kanzisha mtandao huu na kama sio melo usingecheka leo ...

mkuu tumbo salama lakini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…