Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,087
- 34,884
Mbona hiyo picha ni wazungu na si Wachina?
Kiongozi, ndio maana hata ile kitabu yao inawasumbua sana. Kaazi kwer kwerMke ni Ting ambae ni Mchina lakini mume inaonekana ni Mzungu na hapo anaonekana na dada yake ambae nae ni mzungu pia!
Tazama na huyu hapa chini Mtumishi ....Kiongozi, ndio maana hata ile kitabu yao inawasumbua sana. Kaazi kwer kwer
Kwanza mnaleta magazeti ya udaku hapo, afu pili msidhani wote tunapenda kutazama wanawake/wanaume wakiwa uchi.
Hizo picture zinaonyesha wote hao sio wachina. Mwanaume na mwanamke wote ni wazungu.
Kiongozi, yaaani ni kaaaaazi kwer kwer hawa. Bichwani mwao ni watupu hawa.Tazama na huyu hapa chini Mtumishi ....
Yeye amekariri tu mwanamke wa Kichina ni lazima aolewe na mwanaume wa Kichina
Habari inasema waliachwa barabarani lakini hapo ni porini, au picha kwa hisani ya maktaba.
Kama unahusika na upigaji wa hizi picha.wamepigwa picha kwa mbele ndo maana unaona pori wangepigwa kwa nyuma ungeona barabarani
Naomba ufafanuzi huyo dada ni wamume au wa mke? namaanisha jamaa anamega shemeji yake? au wifi mtu anajisevia kaka yake?
Kama unahusika na upigaji wa hizi picha.