Amutus Liumba aachiwa

IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,480
7,421
Wakuu hii nimeipata kule' Kulikoni Ugaibuni blog'....sasa nimeona niilete hapa jamvini maake naamini ni jf pekee(kwa upana wake) inayoweza kuthibitisha ama kukanusha hizi tetesi

nawasilisha!
 
Wakuu hii nimeipata kule' Kulikoni Ugaibuni blog'....sasa nimeona niilete hapa jamvini maake naamini ni jf pekee(kwa upana wake) inayoweza kuthibitisha ama kukanusha hizi tetesi

nawasilisha!

mkuu ingia link hii Liyumba
 
dah hivi bado atakuwa na uwezo wa kuendelea kugawa vile vigari vyeye rangi ya hatari?
 
kaaa naona anajipanga kwanza afya irudi kidogo manake kakata ringi balaa
ila angeachiwa mara moja habari za maharagwe na bastola kiunoni tupa hukoooo
wataanza za lyumba!!!!!!!!! this country bwana!!!!!!!!!!!!!!!dah hivi bado atakuwa na uwezo wa kuendelea kugawa vile vigari vyeye rangi ya hatari?
 
Back
Top Bottom