Hapo kweli maana kila mtu kakariri tikiti maji.....mara mahindi..... mimi msimu ujao naingia shamba nakodi ekari tano yote natandika maharage sitaki kuchanganya na mahindi,,, napalilia na kuweka mbolea nione kama msimu mmoja hautanitoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.