Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

Inachekesha sana kwa kweli. Barua inaonyesha huyo Amsterdam ni wakili tu mwanzilishi wa kampuni ya uwakili ya Amsterdam & Partners LLP amesaini Kama Robert R. Amsterdam, ambaye anamuwakilisha LISSU.
Sioni tofauti na barua ambayo ingeandikwa na kampuni ya mawakili ya Fatma Karume.
AJABU eti anamtishia JPM na mwanasheria mkuu wasimkate LISSU, maana yake ni kwamba LISSU ameshaona violations alizofanya ndio maana anaanza kutishiatishia..
LISSU ni wa AJABU sana anapenda malumbano ya kisheria wakati amekuwa akipoteza Mara kadhaa..
Mfano nzuri ni kupoteza Ubunge..
Aliambiwa arasimishe taarifa ya ugonjwa wake oficini kwake, akagoma, akadai hawezi kufukuzwa, Baadae akafukuzwa,
Akaenda mahakamani kwa mbwembwe na kuaminisha watu eti angeshinda akatupwa nje kwa technical knock out...
Leo hii kwa kiburi kabisa amefanya kampeni karibu nchi mzima kwa kisingizio Cha kutafuta wazamini kinyume na Sheria.. sasa amegundua amechemka amejiri kampuni ya mawakili kuitisha tume, mahakama na serikali(JPM na Mwanasheria Mkuu)
Kuna wakati inatubidi ushabiki mandazi tuuweke pembeni naukweli usemwe......Lissu anazingua nawanaosema hana uwezo wakuiongoza hii nchi naona wapo sawa haiwezekani nchi huru kama hii uiringanishe nakampuni yauwakili...
 
Mnaamini hiyo barua ni tishio kwa JPM .... Waafrika hamjifunzi tu, Besigye wa Uganda alifanywa nini na Museven tena ule unyanyasaji wa kiroho mbaya dunia ikishuhudia! Hawakuwepo hawa? Rwanda yule mpinzani wa kike? The list goes on .....Chadema hawana chama kwasasa cha kiushindani labda wangeungana na ACT ili walau wajenge chama na baadae wajipange upya kuunda misingi itayowasaidia baadae kutwaa dola. Kwasasa wakienda na ule upofu wa kishabiki, watashangazwa October ...
Hawajitambui....... Nikweli wengi tunahitaji mabadiliko ila sio kwastyle hiyo.

Kupitia lissu nimeelewa Rais anatakiwa aweje. Magu kula mingine mitano kiroho safi
 
Waje mabeberu na Lisu wao tutapambana nao sisi Kama Watanzania wazalendo tunaoipenda nchi yetu na tusiotaka fitna za mabeberu.
Magufuli oyeeee
 
Wao waseme wanachotaka ni kuendelea kutubia na hilo halitakuwepo tu. wao waendelee kumfadhiri ila mwisho wa siku kurudia tena enzi zile za Mangungo wa Msovero hatuko tayari na hawatapata wanchotaka kutubia
sisi sio kisiwa ili uendelee ni lazima uibiwe hata wao wanaibiwa kila nchi inamuibia mwenzake ni kama mchezo wa draft ulipo kula ni kule
 
Mnaamini hiyo barua ni tishio kwa JPM .... Waafrika hamjifunzi tu, Besigye wa Uganda alifanywa nini na Museven tena ule unyanyasaji wa kiroho mbaya dunia ikishuhudia! Hawakuwepo hawa? Rwanda yule mpinzani wa kike? The list goes on .....Chadema hawana chama kwasasa cha kiushindani labda wangeungana na ACT ili walau wajenge chama na baadae wajipange upya kuunda misingi itayowasaidia baadae kutwaa dola. Kwasasa wakienda na ule upofu wa kishabiki, watashangazwa October ...
true thus yafaa waachwe wasifanyiwe figisu figisu za kutekwa wagombea wao au rafu za wakurugenzi ili kama kushindwa washindwe wenyewe kwa kuufanya uchaguzi uwe huru na kila kitu kipo wazi
 
Wacheni mikwara mbuzi yenu hakuna kosa ambalo limefanyika so far ku attract intervesion ya ICC.

by the way ni ngumu sana kumshitaki a sitting president.

rejea kesi ya Uhuru na Ruto
ukitenda uhalifu utashtakiwa tu hata ujifiche mwezin
 
Unaota ww
kanuni ya dunia yasema hivi hakuna binadamu yeyeto haijalishi cheo chake awe mfalme au tajiri akataenda uhalifu akabaki salama,cheki farao,herode,gadafi ,saddam,hitler,osama hii ni laws of nature.Jifunze kuhusu universal uishi salama.The hague ipo kwa ajili ya watu wote waliokosa malezi bora utotoni toka kwa mama zao baada ya kuzembea kulea kule ni sehemu salama ya kuwapumzisha ili kuepusha dunia gharama za kuhudumia wakimbizi
 
Back
Top Bottom