Amsterdam 2025

Yeyote yule mtetea HAKI za wanyonge ni adui wa CCM. kosa la Amsterdam ni kukubali kwake kumtetea kisheria Tundu Antipas Lissu aliyepigwa risasi zaidi ya 30 ili aweze kupata HAKI zake kama mtanzania.

CCM walitaka Lissu arejee nchini bila usaidizi wowote ule wa kisheria duniani, nafikiri wote mnajua ni kipi ambacho kingekuwa kimeshampata so far.
Ni risasi 16
 
Mkuu ulishawahi kukoswa koswa na risasi walau moja maishani mwako?
Mie sio jambazi risasi zinifate za kazi gani? Nilikuwa tu narekebisha kiswahili ulivyosema kapigwa risasi 30...zilizompata ambazo zimempiga ni 16.
Hayo mengine wala simo..mi sijui lolote
 
PLATINUM MEMBER UNAANDIKA UTOPOLO.

Nilitegemea uwe kiongozi mwenye kuleta mada zinazojenga Taifa , zenye Fikra chanya na zenye faida kwa nchi.

Unashindwa kuandika changamoto zinazowakabili vijana na soluhisho lake?
changamoto za maji na tiba yake.

BADALA YAKE UNAJIKITA KUANDIKA UTOPOLO
KAZI IPO.
Na mie nimeshangaa...
 
Mie sio jambazi risasi zinifate za kazi gani? Nilikuwa tu narekebisha kiswahili ulivyosema kapigwa risasi 30...zilizompata ambazo zimempiga ni 16.
Hayo mengine wala simo..mi sijui lolote
navyokuona wewe ulivyo, hiyo risasi moja tu ya SMG Ikipita mita sita off you .... ni lazima haja zote zitoke bila ushirikiano.

Ndiyo maana tunasema mwambie babako achunguze ni kina nani hao wahuni walitaka kuyakatisha maisha ya Lissu?

Na yeye Lissu hana kosa kutafuta usaidizi wa kisheria popote pale duniani ukizingatia haya yote yaliyomkuta - Amsterdam ni mtu muhimu sana kwa Lissu na kwa sisi watanzania wapenda haki.
 
Hayo mambo ya risasi za lissu sipo tayari kubishana maana sijui chochote, walio tayari na ubishi watakuja mbishane.
Ila risasi zilizompiga mwilini ni 16 sio 30 according to Lissu mwenyewe.
 
Kama hairuhusu basi agombee urais kwenye ile Jamhuri ya Twitter.
Bob ni kiboko ya madikteta na mkakati wa dunia ni kuyashughulikia madikteta maana sababu ya ukosefu wao wa malezi Bora utotoni unapelekea mabeberu kuingia gharama kubwa Sana za kuhudumia wakimbizi.Madikteta yanaamini huwezi leta maendeleo bila kuuwa watu.
Ni mwanasheria wa Bob Wine pia na mwanaharakati mmoja wa Cameroon.Kama umjui Bob muulize Putin anaijua shughuli yake amepambana na madikteta Sugu wakubwa dunia na amewashinda sembuse kina uchwara primitives uncivilized uneducated.
 
Nadhani badala ya kujikita kumtaka ndo agombee tungejikita kujiuliza why ndani ya nchi yetu hatuna platform ya watu kuweza kudai haki yao pale wanapohisi mchakato wa uchaguzi wa rais haukuwa wa haki kwako.
Haya. Wewe jikite huko unakotaka kujikita.

Mimi najikita kwenye kumpigia upatu agombee.
 
Back
Top Bottom