Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,828
- 5,968
Vipi wewe ? Aau ndo ushamba unaendelea kuwasumbua?
Natoa pendekezo
Kwa jinsi makamanda wanavyomhusudu huyu bwana...
Natoa pendekezo
Kwa jinsi makamanda wanavyomhusudu huyu bwana...
kwamba wewe ni special na wachache ndo wanakuelewa. Acha kujikweza kijana.Kwa wanaonielewa humu [ambao ni wachache sana], wameshanielewa kwa nini nimeanzisha hii mada!
Kweli kabisa maana platform ya Lissu 2020 ilikuwa ni matobo ya risasi wakati ya Amstersam 2025 itakuwa the Hague.The Hague tuliisikia toka 2015 kwa akina Mnyika (muflisi wa kisiasa) kwamba JK atapelekwa the Hague.Natoa pendekezo...
Kwa jinsi makamanda wanavyomhusudu huyu bwana...
Kwani kamanda msaliti alituambia solution gani la hizo changamoto? Yeye si alikuwa anahubiri ushoga tu akidhani hilo ndilo hitaji letu. Kwani ushoga ndiyo suluhisho la changamoto zinazowakabili vijana?...unashindwa kuandika changamoto zinazowakabili vijana na soluhisho lake????
... changamoto za maji na tiba yake.
Mama Samia ni Rais wakoShangazi?,unataka kusema rais wa jinsia ya kike?.Binafsi siafiki kabisa,nafasi ya Urais inatakiwa kikae kidume lkn nafasi nyingine wakiwa wanawake sio shida.
Nadhani badala ya kujikita kumtaka ndo agombee tungejikita kujiuliza why ndani ya nchi yetu hatuna platform ya watu kuweza kudai haki yao pale wanapohisi mchakato wa uchaguzi wa rais haukuwa wa haki kwako.Natoa pendekezo...
Kwa jinsi makamanda wanavyomhusudu huyu bwana...
Ah! Wapi!!.Haiwezekani tukaongozwa na rais mwanamke.Nafasi ya Urais inataka Baba tena Baba mwenyewe awe na kauli na ajisimamie.Mama Samia ni Rais wako
Kweli mkuu, wazo zuri sema litapingwa na wengi.Nadhani badala ya kujikita kumtaka ndo agombee tungejikita kujiuliza why ndani ya nchi yetu hatuna platform ya watu kuweza kudai haki yao pale wanapohisi mchakato wa uchaguzi wa rais haukuwa wa haki kwako.
Ipo siku dunia itakushangazaAh! Wapi!!.Haiwezekani tukaongozwa na rais mwanamke.Nafasi ya Urais inataka Baba tena Baba mwenyewe awe na kauli na ajisimamie.
Wewe itakusaidia nini?Natoa pendekezo...
Kwa jinsi makamanda wanavyomhusudu huyu bwana...
Huyu aliyepo ni dume amefanya nini cha maana?Shangazi?,unataka kusema rais wa jinsia ya kike?.Binafsi siafiki kabisa,nafasi ya Urais inatakiwa kikae kidume lkn nafasi nyingine wakiwa wanawake sio shida.
Hivi kwanini huwa mnahisi ya kuwa Watanzania wote wanahusudu Demokrasia ? Hili ni kosa kubwa sana, bali mnatukosea sana sisi wengine ambao tunaona ya kuwa Demokrasia ni ushetani na ni utumwa wa kujitakia.Hata kama Chadema hawatafanikiwa Kwa lolote..
Au huyo Amsterdam asifanikiwe lolote...
Natoa pendekezo...
Kwa jinsi makamanda wanavyomhusudu huyu bwana.
Napendekeza 2025 ndo awe mgombea wa urais kupitia CHADEMA.
Naamini akigombea kwa platform ya kumshitaki Rais Magufuli huko The Hague, atajizolea kura nyingi sana.
Makamanda mnasemaje? Twende na Amsterdam 2025?
Yeyote yule mtetea HAKI za wanyonge ni adui wa CCM. kosa la Amsterdam ni kukubali kwake kumtetea kisheria Tundu Antipas Lissu aliyepigwa risasi zaidi ya 30 ili aweze kupata HAKI zake kama mtanzania.
CCM walitaka Lissu arejee nchini bila usaidizi wowote ule wa kisheria duniani, nafikiri wote mnajua ni kipi ambacho kingekuwa kimeshampata so far.