Amsterdam 2025

Amsterdam 2025

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,152
Reaction score
137,155
Natoa pendekezo...

Kwa jinsi makamanda wanavyomhusudu huyu bwana.

Napendekeza 2025 ndo awe mgombea wa urais kupitia CHADEMA.

Naamini akigombea kwa platform ya kumshitaki Rais Magufuli huko The Hague, atajizolea kura nyingi sana.

Makamanda mnasemaje? Twende na Amsterdam 2025?
 
PLATINUM MEMBER UNAANDIKA UTOPOLO.

Nilitegemea uwe kiongozi mwenye kuleta mada zinazojenga Taifa , zenye Fikra chanya na zenye faida kwa nchi.

Unashindwa kuandika changamoto zinazowakabili vijana na soluhisho lake?
changamoto za maji na tiba yake.

BADALA YAKE UNAJIKITA KUANDIKA UTOPOLO
KAZI IPO.
 
images (17).jpeg
 
Mkuu hicho kichwa ulichobeba juu ya mabega usikifanye ni mzigo kama mizigo mingine

Umejigeuza katuni na mchekeshaji hapa JF

Jaribu kutumia kichwa chako kufikiri
 
2025 tunaenda na shangazi,we usituvurugie ratiba
Shangazi?,unataka kusema rais wa jinsia ya kike?.Binafsi siafiki kabisa,nafasi ya Urais inatakiwa kikae kidume lkn nafasi nyingine wakiwa wanawake sio shida.
 
Back
Top Bottom