Amri Kumi za Uchaguzi mwaka 2015, zingatia

Amri Kumi za Uchaguzi mwaka 2015, zingatia

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,539
Reaction score
4,856
AMRI KUMI ZA KUSHINDA UCHAGUZI 2015

1] Muheshimu mwenyeketi wa NEC kama unavyowaheshimu wazazi.
2] Toa ahadi za uwongo kwani za ukweli hautoaminiwa na watanzania.
3] Mkosoe mwenzako kama alivyokosolewa shetani ndani ya vitabu vitakatifu.
4] Kuwa na kiherehere cha huruma kwa watanzania wakati ukijua huwapendi.
5] Usitamani kura za mwenzako kama unavyomtamani mke wa jirani yako.
6] Jipendekeze kwa wanawake kama unavyojipendekeza jukwaani.
7] Tabiri kuwa utashinda ingawa unajua kuwa utapigwa chini.
8] Kesha ukiomba ili zisiibiwe kura zako.
9] Jipendekeze kwa waandishi wa habari na gawa posho kiasi ukitegemea utalipa siku ukitangazwa mshindi.
10] Jifanye muumini ingawa hata quran na biblia hujawi soma.
 
Back
Top Bottom