Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,637
- 220,408
Hii amri ukiisikia unaweza kuona ni ndogo lakini ni kubwa sana. Mpendane kama nilivyowapenda mimi. Inamaana tukipendana hatuta; ibiana, sema uongo, tamani wake na waume wa wengine, sengenyana, logana, oneana wivu nk.
Nilijaribu kupenda walionizunguka kama ninavyojipenda mimi. Ni ngumu lakini athari zake zinauma zaidi. Maumivu ya mtu uliempenda kama nafasi yako akijusengenya inauma kuliko kusengenywa na Tom and Harry.
Nisikiavyo huko mbinguni haya ndiyo maisha wanayoishi waliofanikiwa kupata mwaliko wa karamu. Ni upendo wa agape masaa 24 na kumtukuza Mungu.