Amri juu ninawapa mmpendane

Amri juu ninawapa mmpendane

Hivi kweli umeamua kumdhalilisha baba namna hii? Ukiendelea hivi hautafufuliwa siku ukidedi... Nimemua kumwachia Mungu

Ole wako usipotubu
Bado naendelea kutafuta kanisa nikatubu
Nita jaribu like la ufufuo na uzima SA
Nikazaliwe upya.
 
Hii amri ukiisikia unaweza kuona ni ndogo lakini ni kubwa sana. Mpendane kama nilivyowapenda mimi. Inamaana tukipendana hatuta; ibiana, sema uongo, tamani wake na waume wa wengine, sengenyana, logana, oneana wivu nk.

Nilijaribu kupenda walionizunguka kama ninavyojipenda mimi. Ni ngumu lakini athari zake zinauma zaidi. Maumivu ya mtu uliempenda kama nafasi yako akijusengenya inauma kuliko kusengenywa na Tom and Harry.

Nisikiavyo huko mbinguni haya ndiyo maisha wanayoishi waliofanikiwa kupata mwaliko wa karamu. Ni upendo wa agape masaa 24 na kumtukuza Mungu.
Sister utakua uko vizuri kiasi cha kila mwanaume unataka u mhandle unavyotaka kitu ambacho hawawezi kubali kabisaaaa Am i wrhong??
 
Hayo maisha ya kutukuza 24/7 ni magumu mno na yapo so boring. Haiji akilini 24/7 watu watakuwa wanatukuza tu. Kuna kitu hawa weupe walitudanganya sio bure...
 
Mbaya zaidi toka wanadamu wameingia duniani upendo huo haujawahi kuwepo toka enzi na enzi, bora tuu subiri huko mbinguni
 
Back
Top Bottom