Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Afadhali sasa ushajua. Epuka wine kabla hujaanzisha thread. Hasa zinazosisitiza upendoShukran mkuu lakini sikujua kuwa kuna survey ya warekebisha headings 😂
Afadhali sasa ushajua. Epuka wine kabla hujaanzisha thread. Hasa zinazosisitiza upendoShukran mkuu lakini sikujua kuwa kuna survey ya warekebisha headings 😂
Hebu subiri kwanza tumalize msiba wa kada wa chama kitukufu na balozi wa wasanii... Bashite anatuongoza kwenye upendo wa mazishiNi upendo unasababisha Mbowe kuwa Segerea na nikiavyo anaweza kuwa kule mpaka uchaguzi wa serikali za mitaa upite.
Hii dunia imejaa vituko tushangae ya SA ya kufufuliwa wafu huku tushangae ya risasi kupinda kona kutafuta mlengwa ikaishia kutoa uhai innocent person. Tutaingizwa kwa Guinness Book muda si mrefuEwaaa... ila kwenye kampeni uwe makini. Siku hizi kuna risasi zina upendo... zinalengwa kwa mwingine lakini zinakata kona zinakufuata popote ulipo zinakudedisha. Aliyefyatua risasi anapandishwa cheo na aliyedhamiriwa kucharazwa anawekwa rumande.
Ikiwa hivyo upendo huu tuuweke kando, tubakie na upendo wa "lete kama tulivyo" huku tukisindikizwa na sahani zilizosheheni protini ya kuchoma.
Baada ya kusema hayo napenda kukuuliza Eti kama hakuna kama mama, ni nani wa kumfananisha na baba?
Na polisi aliyefyatua risasi hana hatia lakini aliyekuwepo eneo la tukio yuko mahabusu. Yote ni katika upendo wa bwana.Hii dunia imejaa vituko tushangae ya SA ya kufufuliwa wafu huku tushangae ya risasi kupinda kona kutafuta mlengwa ikaishia kutoa uhai innocent person. Tutaingizwa kwa Guinness Book muda si mrefu
Nitajizatiti na zile anazotishiaga Mheshimiwa wa Kigoma nitageuka bahari. 2020 akina Sangoma watatajirika hatari
Hakuna kama Mama, Baba wa kufananishwa na JIWE
Shukran mkuu lakini sikujua kuwa kuna survey ya warekebisha headings 😂
🙏🏾Hapana siyo survey kabisa na si kwa ubaya, napenda sana kusoma thread zako, na kuna wakati nikiona heading imechapiwa nahisi ni wewe kabla sijaangalia mwandishi.
Ni swala dogo tu la kujizoesha kupitia nini tuliachoandika kabla ya kutuma.
Yalishawahi kunikuta kwenye emails nimetuma kumbe simu ilifanya autocorrect ikaniwekea maneno ambayo siyo yangu, nilijuta.
Hivi kweli umeamua kumdhalilisha baba namna hii? Ukiendelea hivi hautafufuliwa siku ukidedi... Nimemua kumwachia MunguHii dunia imejaa vituko tushangae ya SA ya kufufuliwa wafu huku tushangae ya risasi kupinda kona kutafuta mlengwa ikaishia kutoa uhai innocent person. Tutaingizwa kwa Guinness Book muda si mrefu
Nitajizatiti na zile anazotishiaga Mheshimiwa wa Kigoma nitageuka bahari. 2020 akina Sangoma watatajirika hatari
Hakuna kama Mama, Baba wa kufananishwa na JIWE
Hii amri ukiisikia unaweza kuona ni ndogo lakini ni kubwa sana. Mpendane kama nilivyowapenda mimi. Inamaana tukipendana hatuta; ibiana, sema uongo, tamani wake na waume wa wengine, sengenyana, logana, oneana wivu nk.
Nilijaribu kupenda walionizunguka kama ninavyojipenda mimi. Ni ngumu lakini athari zake zinauma zaidi. Maumivu ya mtu uliempenda kama nafasi yako akijusengenya inauma kuliko kusengenywa na Tom and Harry.
Nisikiavyo huko mbinguni haya ndiyo maisha wanayoishi waliofanikiwa kupata mwaliko wa karamu. Ni upendo wa agape masaa 24 na kumtukuza Mungu.
Shukran mkuuNimekudharau sana baada ya kusema mumeo umemfanya zezeta yaani bushoke..
Sent using Jamii Forums mobile app
I do appreciate mkuu we should love one another
AminaHii amri ukiisikia unaweza kuona ni ndogo lakini ni kubwa sana. Mpendane kama nilivyowapenda mimi. Inamaana tukipendana hatuta; ibiana, sema uongo, tamani wake na waume wa wengine, sengenyana, logana, oneana wivu nk.
Nilijaribu kupenda walionizunguka kama ninavyojipenda mimi. Ni ngumu lakini athari zake zinauma zaidi. Maumivu ya mtu uliempenda kama nafasi yako akijusengenya inauma kuliko kusengenywa na Tom and Harry.
Nisikiavyo huko mbinguni haya ndiyo maisha wanayoishi waliofanikiwa kupata mwaliko wa karamu. Ni upendo wa agape masaa 24 na kumtukuza Mungu.
Usichopenda kufanyiwa, usimfanyie mwenzio. Wangapi tuko hivyo. Kama hata viongozi wetu wanaojiita wa dini ni "mashetani", nani atasalimka siku ya hukumu!