Amri itoke magari yatumie gesi

Amri itoke magari yatumie gesi

Nasikia ile ya kwenye mitungi ya kupikia lazima itokane na mafuta ya petroleum, wataalamu wetu humu watatujuza
Natamani sana serikali itoe ufafanuzi zaidi wa hii gas yamtwara kwakweli

Walitoga ufafanuzi kuwa kitajengwa kiwanda cha kuchakata gas kuwekwa kwenye mitungi kimya

Wanachi waliopitiwa na bomba now kwa Mara ya pili wanafungua a/c wapewe fidia ..

Mradi ulikuja kwa ukubwa sana huu
 
Kuna vita kubwa kutoka kwa wauza mafuta, isipuuzwe.
 
Kipimo cha kwanza kabla kuhamia huko jiulize umeme utokanao na gesi umeshaanza kufanya kazi,km bado bhs ndugu yang wazo lako litabaki km nightmare.Leo hii kuna baadh ya sehemu hawana hata maji,sukari tu imetushinda what about the big project km iyo??!.
We don't have smart people kwenye uongozi tuna watu average tu na overrated,we ukitaka kujua watafute wale ma prof na wasomi wengine waliopo kweny system measure their thinking capacity ndo utaelewa kuwa hilo suala halitawezekana.
 
Ni vigumu sana kumtofautisha Kati ya Prof na mwenye diploma ya ualimu kwenye uongozi wetu.

Hawamsaidii rais na Wala hawajiuzulu Kama mawazo yao yakipuuzwa. Na wao hadi watumbuliwe ndo wanaondoka
 
😃😃 na standard 7 wote cognitive abilities zinafanana ila tutafika tu mdogo mdogo.
 
Hizo project ni kubwa sana lazima tuwe tumejuthatiti ipasavyo maana matajiri wa mafuta ndo wanaiendesha dunia kwa sasa ata ukufatilia marekani yeye anajua uchumi wake ni mafuta na kinacho mpa kichaa ni hawa china wanavyo taka badili uchumi wa dunia kuja kwenye gasi au umeme
 
Tanzania inayo gesi nyingi lakini uagizaji wa mafuta bado uko juu. Hela nyingi za kigeni bado zinahitajika kuagiza mafuta.

Kwanini Tanzania tusifanye maamuzi magari magumu ya kubadilisha magari yote hasa yake madogo nchini kuanza kutumia gesi yetu badala ya mafuta ya petrol?

Tunaweza kuanza na miji mikubwa Kama Dar, Tanga, Dodoma, Mwanza na Arusha Kama pilot.

Bila kufanya hivyo athali za CORONA zitatusumbua sana kwa miaka mingi.
Dar yenye magari mengi sana kwa Tanzania yetu hii, ina kituo kimoja cha kujaza gesi maeneo ya Ubungo kama nakumbuka vizuri.
Ili zoezi hilo kifanyike lazima kuwa na vituo kila kona ya Dar. Hili si leo wala kesho. Pili, bei ya kufanya gari itumie gesi ishuke na kubebwa na serikali.

Bila haya kufanyika, itakuwa ndiyo ya alinacha.
 
Gas yakupikia vipi? Tuliambiwa tutaunganishiwa.mabomba leo magari ndoto za mchana tena ukiwa njaa, kituo chenyewe gas kimoja tu mmmm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar yenye magari mengi sana kwa Tanzania yetu hii, ina kituo kimoja cha kujaza gesi maeneo ya Ubungo kama nakumbuka vizuri.
Ili zoezi hilo kifanyike lazima kuwa na vituo kila kona ya Dar. Hili si leo wala kesho. Pili, bei ya kufanya gari itumie gesi ishuke na kubebwa na serikali.

Bila haya kufanyika, itakuwa ndiyo ya alinacha.
Kituo chenyewe usumbufu balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom