kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,252
- 16,170
Tanzania inayo gesi nyingi lakini uagizaji wa mafuta bado uko juu. Hela nyingi za kigeni bado zinahitajika kuagiza mafuta.
Kwanini Tanzania tusifanye maamuzi magari magumu ya kubadilisha magari yote hasa yake madogo nchini kuanza kutumia gesi yetu badala ya mafuta ya petrol?
Tunaweza kuanza na miji mikubwa Kama Dar, Tanga, Dodoma, Mwanza na Arusha Kama pilot.
Bila kufanya hivyo athali za CORONA zitatusumbua sana kwa miaka mingi.